Thursday, February 24, 2011

JACKUELINE NTUYABALIWE IS THE MOST BEAUTIFUL WOMAN IN THE WORLD - TK... UZURI WAKE WALETA GUMZO

Kupitia mtandao wa facebook TEDDY KALONGA (TK) ametoa compliments kwa JACKUELINE NTUYABALIWE na amekiri kwamba kwake yeye mpaka sasahivi anafikiri JACKUELINE NTUYABALIWE ndio mwanamke mzuri kuliko wote duniani, na hiyo aliiandika kama kitu kilichokuwa kwenye fikra zake kwa muda ule na status yake ilisomeka kama hivi.. "I still think Jacqueline Ntuyabaliwe (K-LYINN) is the most beautiful woman in the world. ♥ ♥ ♥ I miss her. " kitu ambacho kimeibua ka-gumzo kwa watu kwa kila mtu kucomments anachokiona kuhusiana na hilo...
Baada ya kuandika hivyo TK alipokea comments nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali wengine wakisupport, wengine wakiwa tofauti kidogo na wengine wakitaja watu ambao wao kwa mtazamo wao wanafikiri ni wazuri zaidi ya K-lyn ambapo katika hao hata TK mwenyewe alitajwa
Hapo akiwa na Hoyce Temu

Ukiachana na TK mwenyewe kuna mtu alikubaliana naTK kwamba K-Lyn ni mwanamke mzuri lakini si kwa dunia nzima ila alichokisema ni kwamba kwa upande wake HOYCE TEMU ndio namba moja halafu anafatia K-lyn ambapo comment yake ilisomeka kama ifuatavyo.. "in the world...no! But she is beautiful...to me wa pili kwa uzuri kwa miss tz walioshika taji,hoyce temu then jacquline"


wakati comments zikiendelea kuna mtu ambae alisema ye kwake anamuona kawaida tu sana na alichoandika ni kama hivi "mmmmhhhhhh sijaona kawaida tu teddy or rangi na uchotara,......but u r cute than her tedy sorry to say tha" kitu ambacho TK alikipinga kidogo na kuelezea kuwa yeye K-lyn kwake bado ni msichana mzuri hata angekuwa vipi kwa kusema "me I think hata angekuwa mweusi kakekuwa bado kazuri tu. Have you seen her lips, eyes, her teeth, the way she talks omg. :))" na akapata support kwa mtu ambae alisema JACKUELINE NTUYABALIWE ataendelea kuwa miss wake of all time!!!
Kwa upande wangu mimi naomba niwe mkweli tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikimuangalia K-LYN kama mtu (msichana) anaenivutia sana, sura yake, umbo lake, anavyovaa na the way alivyo kwa ujumla...

Kikubwa kingine kinachonifanya niendelee kumkubali zaidi na zaidi ni kwakuwa KILA ANAVYOZIDI KUKUA NDIVYO UZURI WAKE UNAVYOONGEZEKA... mara nyingi watu hasa wasichana umri unavyosogea na uzuri unakua kama unapungua hivi lakini kwa JACKUELINE NTUYABALIWE imekuwa kama tofauti kwani yeye kadri umri unavyoongezeka na uzuri wake unazidi kiufupi anajua kuji-maintain which is good.. so kwangu mimi K-LYN ni mmoja kati ya wanawake wazuri sana... SHE IS BEAUTIFUL kwakweli...
Baadhi ya picha zake akiwa katika pozi tofauti.. look at her smile na structure ya sura yake!!!
Hapa akiwa amekata nywele...
FULL SIZE PICTURE
In different pozi.....

Hii ni moja kati ya Show alizowahi kufanya kama mwanamuziki enzi hizo.. i dont know why simsikii kwenye music siku hizi... kila mtu ana strength zake, unaweza ukawa si mkali sana kwenye kitu fulani lakini ukawa na kitu ambacho mwingine hana na hiko kikafufanya u-stand out na kukubalika..

Moja kati ya vitu vilivyokuwa vikimbeba k-lyn kwenye music ni uzuri na mvuto wake, utatamani kuangalia videos umuone alivyovaa na alivyo.. PERSONALITY is everything katika kazi ya sanaa, na alikuwa nayo kitu kilichomuongezea credits zaidi.

Another beautiful chick and fashionista as well TEDDY KALONGA (TK) ambae ndie amemuona NTUYABALIWE kama mwanamke mzuri duniani..
Huyo ni TK.. na wanasema uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu na TK ameona kama K-lyn ni the most beautiful woman in the world...
KWA UPANDE WAKO NI MWANAMKE/MSICHANA GANI ANAEKUVUTIA SANA HAPA BONGO NA NINI AMBACHO KINAKUVUTIA ZAIDI KWAKE!!!!!!?????

29 comments:

Anonymous said...

Jacqueline ni mzuri lakini ni upumbavu mkubwa kusema ati yeye ndiyo mrembo kuliko wanawake wooote duniani.

Anonymous said...

irene kiwia yule dada ni mzurihata make up hazimbebi sn, zama un apaka make up nyingi mno mpk uso unakuwa km una mafuta mengi huku kwenye macho ndo kbsaaaaaaaaa. maimatha, sauda mwilima hao sasa ndo utasema wadoli na wakitoka kuamka ukikutana nao lazima ukimbie,dina nae cjui n i poda hawa watu wanapaka au la yani m2 uso na shingo haviendi hata mwasiti nae,jide pia

Anonymous said...

tk alisema hayo ki-uchokozi pengine alitaka madongo yaanze kutupwa kwa K-LYN wa watu.
anywayz mm mzuri wangu ni ww zamaradi na kinachonivutia kwako ni ngozi yako inang'aa sana.

Anonymous said...

mama yangu ndo mzuri kuliko wote duniania, wengine wote wauza sura tu zamaradi........

Anonymous said...

she is cute ndio but definitely not the best of all.kuna watu wako hooooot zaidi

Anonymous said...

kIUKWEL DADA NI MKALI HASA!
AUgUSTINE

Anonymous said...

Bi kidude ndo chaguo langu, mana uzuri wake unaonekana mpaka uzeeni. Bayo

Anonymous said...

TK utasemaje kuwa k-lynn is the most beautiful woman in the world wakati hapa TZ kuna maelfu ya wasichana wanaomzidi?

Anonymous said...

Ni mrembo lakini kwa kuishinda dunia nzima cjaona bado lol huyo hajaona warembo kuna wadada warembo kwenye hii dunia yani sijui nimwambie je???Arudie research yake tena

Anonymous said...

She is cute bt is nt that much,TK jipange tena mdada sio urembo wa vileeeeeeeeee wakushinda dunia nzima,make-up nazo zimechangia,ss tunampa kazi ampige picha ambazo hajapaka make-up tuone uzuri wake.

Anonymous said...

yeye kwake K-lyn ndio mzuri kama nawewe unawakwako mwandike.uzuri wa mtu yupo machoni mwa mtu mwenye

Anonymous said...

Honestly,she's just an ordinary lookin girl.there are plenty of beautiful tanzanian women and that hvnt been out on the spotlight.she's only seen as beautiful cause she's bn on the spotlight otherwise personally I find her JUS ALRIGHT...meanin pretty in her own way.but she's definetly not the hottest girl in the world...tht TK chic is simply shady thts all and thts why she's givn her props...LOL

Anonymous said...

sijawahi kukomnt humu, lakini hili limenigusa haswaa. toka mwaka 2000 nafuatilia miss tanzania, na watu wa karibu wanajua hili, kiukweli kabisa, hakuna miss tanzania aliyewahi kuwa mzuri kuliko klyn mpaka sasa, si hoyce temu wala nancy sumari, klyn is still the best all these years. na anaendelea kuwa mzuri tu.
Steve, DSM

Anonymous said...

Mboni Masimba ni mzuri sana kushinda hata huyo Jacq

Anonymous said...

anon wa February 26, 2011 5:26 PM

vipi jamani? andika kiswahili siku hizi kinalipa mwaya. watu wa mbele huko wanajifunza hii lugha tena kwa hela nyingi!!!

Anonymous said...

Jamani Jacqueline ni mzuri namkubali! Kuna dada mwingine wakili anaitwa Jacqueline naye she is jas too hot mi cjaona Jacqueline mbaya kwa kweli! Johnson

Anonymous said...

she is cute but not that much! Tk Umechemka!Jipange! Mbona kuna wadada wazuri zaidi yake1 Anyway uzuri wa Mtu uko machoni mwa mtu!

Anonymous said...

YA SHE Z A KIND OF CUTE BT DEA A OTHERS HU A HOTTEST LYK IRENE UWOYA ,JACKLYN WOLPER N SO ON.

Anonymous said...

Hapa hapa TZ kuna laki nyingi za mademu wanaompita k-lynn kwa uzuri. Bado hujaingia Seychelles, Swaziland, Brazil, Morocco na.....

Anonymous said...

SISI WAKINA JAC WOTE HUWA WAZURI, MAJINA PIA YANACHANGIA.

BINADAMU WOTE WAZURI KWA KUWA WANAUMBWA KWA MFANO WAKE MWENYEZI MUNGU. HAKUNA MBAYA HATA SIKU MOJA.

TUSIKOSE UUMBAJI WA MUNGU.

Anonymous said...

Hamna kitu kama hicho, nakubali kuwa ni mzuri, ila kwa hapa hapa bongo tu kuna kibao wanampiku. Wa kwanza kiboko yake ni Nancy Sumari, Jacky pale haoni ndani kabisaaa! Ni mtazamo tu..

Mdau

Anonymous said...

Mkisema wanawake wazuri msimsahau cynsia masasi,na hawa watoto nakaaya shomari na wadogo zake

Anonymous said...

Zama, si lazima uposti kila utumbo hapa. Utamnukuu vipi mtu anayesema ati Binti Fulani ndiye mwanamke mzuri kuliko wote duniani. Uwiii...

Anonymous said...

Mboni Masimba duuuh!

Anonymous said...

me nadhan uzuri wa mtu upo machon pa m2, kitu kingine ni kumkufuru mungu kusema nana mzuri na nan mbaya, me nadhani all womens are beautiful na si kwa m1 m1

Anonymous said...

yah!she is cute but sio kuliko wanawake wote duniani,i believe kila mwanamke ana uzuri wake

Anonymous said...

OOHH YES SHE IS VERY BEATIFULL BANA,NYIE MNAOPINGA MNA MUONEA WIVU,NA HUYO MBONI MASIMBA ANA UZURI GANI MATAKO YAMEMGANDA KAMA BOGA

Anonymous said...

tk ni mzuri kuliko huyo jack!!!

hata kina mange walikua wanakuonea wivu tu, hawakupati ng'ooooooo teddy!!!

Anonymous said...

Jamani,beauty lies in the eyes of the beholder, unachokiona kizuri mimi naweza nisikione nikaona kibaya na vile vile kitu unachoona kibaya mimi naweza kuona kizuri. Huo ulikuwa mtazamo wa TK, lets leads to respect other peoples opinions.