Monday, February 7, 2011

SINTA.. I USED TO LOVE THIS GAL SANA!!!! NILIUPENDA WIMBO WA JUMA KAKERE KWA AJILI YAKE

Katika watu ambao nilikuwa nawa-admire enzi hizo basi huyu ni mmojawapo, anaitwa Christina Manongi maarufu kama SINTA ambae kipindi cha nyuma naweza kusema alikuwa HOT CAKE kwenye swala zima la uigizaji, natamani sana ningeendelea kumuona kwenye filamu sielewi kwanini hakuendelea wakati naamini alikuwa anaweza, kikubwa kilichofanya nimpende zaidi ni sura yake ya mvuto na haiba aliyonayo.....

Enzi zake aliweza ku-make headline sana kupitia vitu tofautitofauti especially uhusiano wake na juma nature lakini kwasasa naona ameamua kuishi maisha mengine kabisa ambayo si ya kutokea kwenye medias hovyohovyo.. Ameolewa na ni mama kwasasa..

Kuonesha nampenda kiasi gani sinta alinifanya niupende wimbo wa JUMA KAKERE unaoitwa SAFARI kwa yeye tu kutokea kwenye ile video na mpaka kesho naupenda ule wimbo kwasababu yake.
PICHA KWA HISANI YA JIDE!!!

2 comments:

Anonymous said...

YAANI BADO MREMBO HUYU BINTI. PIA KWENYE VIDEO YA MTOTO WA DANDU-

Anonymous said...

RUDI SINTA RUDI! UNA NAFASI KUBWA SANA YA KUWATOA WALE WOTE WANAOTESA SASA! UNAKUBALIKA DADA.
HATA MIMI NILIPENDA WIMBO HUO, HONESTLY KWA AJILI YA KUMUONA SINTA TUUUUU.
I REALLY LOVE HER.