Tuesday, February 1, 2011

Call him JAJA...

Nikiwa na mtoto wa RAQUEY.. Call him JAJA .. Ni mmoja kati ya wale watoto wajanja na wanapenda sana kujua vitu which is very good.. Akikuomba umfanyie kitu ukimfanyia anataka urudishe tena kama kilivyokuwa ili arudie kufanya mwenyewe... hapo tulikuwa kwenye studio za I-VIEW lakini kikubwa kilichonivutia ni STYLE YAKE YA NYWELE kama unavyoiona hapo chini amesuka kanywele kamoja nyuma kama PRODUCER LAMAR... he looks very good!!! i hope ni mautundu ya Sarah hayo kwa mtoto!!!

Hapo akiwa amepozi huku akikuonesha STYLE YAKE YA NYWELE - ambapo amesuka kanywele kamoja kama unavyokaona hapo nyuma.

Congralations for having such a beautiful SON.. ukiwa na mtoto nyumbani nyumba huwa inachangamka sana kwa fujo za hapa na pale!!!

4 comments:

Anonymous said...

MAmbo vp?
Mimi napenda sana kutizama picha za hiyo media. Pia nahitaji na mi kupiga picha katika media hiyo lakini sijua pa kuanzia. Nimegoogle sana lakini sikubahatika kuwapata wenyewe kama wenyewe. NAomba Zamaradi unisaidie kunijuza kuhusiana na hawa I-view. Wanapiga picha kwa gharama gani i mean picha za kawaida. halafu kama ntapata contact zao itakuwa vyema. Ila kubwa ni la garama maana mi niko mza nategemea kuja huko tarehe 10. So ntawatafuta nipate picha za familia kidogo.

Regards.
Emmy.

Zamaradi said...

Hi Emmy
Thanks for visiting my blog,
I think itakuwa vizuri nikupe contacts zake ili uweze kuongea nae vizuri
kwa taarifa zaidi call him 0784 231113

Anonymous said...

Wow! what a nice baby boy! Nimempenda jaman.


Holiness

Anonymous said...

zamaradi umebadilika sana..yani umekuwa mrembo na kama uko states vile...different from those days tuli[pokuwa tunasoma pamoja St.Marys mbezi beach.....big up baby girl like it...says Malaika