Thursday, February 3, 2011

KUTANA NA KIM KARDASHIAN WA BONGO...

The beautiful MBONI MASIMBA, ukimuangalia unaona kabisa analetaleta na the sexy Kim Kardashian, Ukiangalia maumbo yao na hata structure ya miili yao ilivyokaa utagundua hilo.. uzuri ni kwamba anajitambua na amelitambua hilo so she call herself KIM K.

Ukiachana na hilo Mboni huwa haniangushi kwenye swala la PAMBA. huwa anajijulia kwelikweli na huwezi ukamkuta amechemka!!!!

Cheki Figure hiyo.. Chekzea!!!
Hapa akiwa kiufukweni zaidi... Uko juu mama!!!

Mbali na yote kama unahitaji vitu vikali especially VIATU (vya kike na vya kiume) fika pale dukani kwake maeneo ya Mikocheni kwa nyerere karibu na talk of the town duka linaitwa CHOCOLATE PRINCESS na kwasasa kuna vitu vingi viko on sale so kwa wale WAJANJA WOTE WA MJINI usikose kupita Chocolate Princess.

Special Offer kwa wakina dada wakijanja waendao na wakati kwa ajili ya Valentine fika duka la Chocolate Princess Boutique lililopo Mikocheni TALK OF THE TOWN..
Mawasiliano piga +255 712 020272
baadhi ya vitu vina vyopatikana kwa mboni
kwa wale wajanja nafkiri hamuhitaji kuambiwa mara mbili

Kwa wale wasiomjua kim kardashian ni huyu hapa

Katika pozi jingine

14 comments:

Anonymous said...

Hapo umechemsha, hawaendani kabisa. Mboni ni mzuri kwa uzuri hakuna haja ya kumfaninisha na Kim, kwa hilo hapana.

Mdau

Maryland

Anonymous said...

Hivi hata kunafananisha huwezi huyo Kim hafanani na mboni hata kidogo, huyo kim na hiyo miguu imekomaa utadhani anakula cement, mboni mzuri sana, kuanzia sura, shape hata miguu

Anonymous said...

upuuuuuuzi mtupu mboni mzuri kama mboni na wala hawezi kuwa kama Kim hajiamini hata kidogo na ndio maana akajiona ni Kim K angejiamini angebaki kuwa Mboni. shule ndogo problem kweli.

Anonymous said...

upumbavu gani huu jamni ndio yale Geneva of Africa, what a crap????!!!!abaki kuwa yeye aache ujinga wa kujibandika majina ya watu.

Anonymous said...

quite different

Anonymous said...

Hawafanani kabisaaa,mboni mnene ana shepu ya unene hasaa, mpk sura yake imevimba mwenzie shepu yake anaonekana yuko fit miguu kukomaa ndo urembo huo kama hamlijui,sio minyama uzembe na mboni ana kitumbo

Anonymous said...

acha upumbavu weka mambo yu hujifunzi kutoka kwa dina tatizo shule ndogo uliyo nayo ndo unatuwekea upumbavu kim na mboni wapi na wapi we una makengeza ya macho? kim yupo juu sana huyo mboni hajai hata kiganjani mpaka wanaume wamtoe ndo apendeze mtajiuza mpaka lini kwanza hajiamini kujipachika jina la kim mpaka hapo tu nime mshusha thamani kim yupo juu wewe mwanamke wa shoka yule elimu aliyo nayo inamsaidia pesa anayo na anajitambua.acha ujinga fanya mambo ya maana mjinga we.

Anonymous said...

Kitu kimoja wamefanana ni kubadili wanaume.

Anonymous said...

Mdau wa 11:46 AM. Nakubaliana na wewe 100%. Waafrika tuna kasumba na kutojiamini (big time inferiority complex). Ndio huo upumbavu wa kuita Arusha eti "Geneva of Africa", miguu mizuri inaitwa "miguu ya kizungu" na visichana empty headed wanajiita Madonna, Brittney and a whole load of bull****. Hebu tuanze kujithamini na tujikomboe kutokana na "mental slavery" ambayo inatufanya tujichubue ngozi, tunyooshe nywele ili zisiwe za kipilipili na kuongea Kiswahili, Kichaga, Kinyakyusa, Kihaya na lugha nyingine za kibantu kwa lafudhi ya Kiingereza (what a joke!). Sister Mboni nakupenda na kwa hivyo nawaomba wenzetu mlio mashuhuri mtoe mfano wa kuthamini uafrika. Kila mtu akubali kuwa Mwenyezi Mungu ametuumba katika rangi mbali mbali na mataifa mbali mbali ili tufahamiane na si kudharauliana au kujidharau. Tuko karne ya 21 tuache kufikiri kama kwamba tuko karne ya 19.

Anonymous said...

Sifikirii kama mtu utapenda fulani na ukataka kuwa kama yeye kimaendeleo na vingine ni mbaya!! fine Mboni ni mziri sanaaaaaa huyo Kim K. Ni pesa tu lakini angekuwa kwenye dhiki huku asingetazimika labda. Mboni baby BE AS UASLF! WEWE MZURIIII

Anonymous said...

Anony wa 10:47 inaelekea hukusoma vizuri alichomaanisha muandishi, kwani amekufafanulia ni uzuri wa sura na maumbile ndio anachowafafanisha na si maendeleo,na hata kama ukitaka kuiga maendeleo ya mtu hujiiti jina lake uta fight ufike aliko, Mboni mzuri YES je anajiamini? NO ndio maana anawatafuta kina Kim K wa kujifananisha asikie watu watasema nini,nasita hili lkn nadahani elimu pia ndogo. na mzuri especially mwanamke ni yule aliyetulia sio kutwa kwenye media mara karuka na Etoo mara Fally Ipupa na wanaume chungu tele, shughuli zote mjini never miss,sasa hata huo uzuri unaojitia nao si utachuja kwa uchovu.Mastaa wa ulaya hupuatwa na mapaparazi lkn huyu dada yeye huwafuata mapaparazi LOL!

Anonymous said...

Huu ni ujinga wa hali ya Juuu, mara Genevieve wa Bongo, Mara Kim K wa Bongo, mara Tyra wa Bongo... hivi nyie wasichana elimu ndogo inawataabisha na hamjiamini hamsa kabisa self respect na self-reservation ndio maana mnajifananisha na watu wengine... WHY CAN'T YOU BE YOU? Mnatia kichefuchefu hebu kuweni na trust na personalities zenu itawapunguzia kujiaibisha wadada wazima mambo mnafanya mambo ya watoto wa primary school...

Anonymous said...

hivi huyo mboni analo lipi kubwa la maaana mpk 2mjadili,au kwa kujiweka kwa eto'o ndo kashakuwa star? hahahaaa jaman bongo?
mboni mboni mboniiii,,,mboo

Anonymous said...

wewe hapo juu umemaliza... mboo?!