Saturday, February 19, 2011

THE STONE CLUB - MWANZA!!!

Hii ilikuwa ni jana furahiday ambapo tulienda club ya THE STONE inayopatikana MWANZA HOTEL kupoteza mawazo kidogo baada ya kazi ya wiki nzima, kutoka kushoto REGINALD MARO (P.diddy) ambae ni cameraman wa TAKE ONE, MOONSHINE, BAGHDAD kwa nyuma yake, DINA MARIOS, SAID BONGE wa powerbreakfast kwa nyuma, GEAH HABIB na mimi ZAMARADI MKETEMA hapo kulia tukiwa nje kabla ya kuingia.
Nikiwa na Sebastian Maganga
Hapo ilikuwa ndani full shangwe, seba aliyejificha, zamaradi na Baghdad (P.G kweka)
Waziri wa Ladha Mr. SEBASTIAN MAGANGA akiweka shida chini na kurusha mikono juu..
Raha jipe mwenyewe... nikiwa ndani ya THE STONENikiwa nimetulia kidogo baada ya dancing ya muda mrefu..
Programs Manager wa Clouds FM radio Mr. Sebastian Maganga pamoja na mimi Zamaradi Mketema nje ya Club THE STONE!!

No comments: