Tuesday, February 8, 2011

SOPHIA KESSY ANAKUJA NA MAMALAND ON CLOUDS TV

Anaitwa Sophia Alphonce Kessy ambae ulikuwa ukimsikia kupitia Bambataa ya CLOUDS FM RADIO kwasasa kaa mkao wa kula kupitia CLOUDS TV ambapo atakujia hivi karibuni na kipindi kipya kabisa kinachoitwa MAMA LAND.
Hiki ni kipindi kitakachokuletea mambo yote kuhusiana na muziki wa kiafrika, wanamuziki na maisha yao kwa ujumla ambapo itakuwa kila JUMAMOSI kuanzia saa MOJA KAMILI mpaka SAA MBILI KAMILI usiku

Mamaa Sophia Kessy akiwa kwenye pozi

Kaa mkao wa kula

8 comments:

Anonymous said...

Dada Sophia mim napendaga sana hilo pozi lako. Yaani naamini atakayebahatika kukuoa atapata raha sana, inaonekana wala hula makuu!!! Keep it up dada!!!!

Anonymous said...

Dear Zama,

Hiyo clouds tv huku kwetu tanga mnampango nayo gani? coz tunakosa vipindi vingi vizuri Last week nilikuwa dar kikazi nikabahatika kupata nafasi ya kuona kipindi chako cha take one yani balaa big up zama uko juu, so kuhusu tanga inakuwaje mamy please reply my Mail please zama kazi njema,nasubiri jibu!

sharifa wa tanga

Anonymous said...

huyu si mlituambia kaacha kazi jamani?au nimekosea?

Anonymous said...

hana hata sura ya mauzo uyu nae sio sura ya tv kabisa mtafutieni kipindi kingine redioni

Hawa said...

Lkn mbona alitangaza kuwa anaachana na kazi ya utangazaji baada ya kujadiliana na familia yake na party mkafanyia. Sasa imekuaje tena?? By ma2 wa2

Anonymous said...

4 sure nampenda sasa Dada sophia kessy kwa mwonekano wake tu! amekaa kiafrika zaidi skin yake nywele zake kichwani mwambie namsalimi sana
BY Augustine magessa

Anonymous said...

Sophia nakuzimia sana kwa kusema ule ukweli.... Uko juu dada

Anonymous said...

HAKUACHA KAZI, ILA ALITAKAZA KUACHA KIPINDI CHA BAMBATAA BAADA YA KUFANYA MAREKEBISHO YA VIPINDI CLOUDS FM

NOW YUPO CLOUDS TV

Zamaradi kwa maswali waulizayo wadau wako ya muhimu hasa hili, uwe unawajibu, hilo ndo la msingi