Monday, May 3, 2010

MAMBO YA SMILING FACES AWARDS

Johari akiwa ameshikilia tuzo yake ya Muigizaji wa kike aliefanya vizuri.
'Leo tena' pia ilipata tuzo kama THE BEST SOCIAL PROGRAM IN TANZANIA. Dina Marios akipokea tuzo kwa niaba ya le tena na mimi nikiwa pembeni hapo kushoto
Nikiwa na Mo-racka aliepata tuzo kama mwanamuziki wa kiume mwenye mvuto na Dina Marios akiwa ameshikilia tuzo zake kama mtangazaji bora wa social program.
Rashid Mrutu akipokea tuzo yake ya Director bora wa filamu.
Mustaffa Hassanali nae akipokea tuzo yake
Hapa nikiwa na kikosi cha mizinga baada ya kupokea tuzo yao kama the best hip-hop crew.
Wasiwasi akiwakilisha Clouds FM radio baada ya sisi kupokea tuzo kama THE BEST RADIO STATION IN TANZANIA.

Jacqueline Wolper jana aliweza kupata tuzo kama msanii wa filamu wa kike mwenye mvuto zaidi.. U deserve it mummie!!
Husband & Wife Sajuki na Wastara wakipokea tuzo yao baada ya filamu yao ya VITA kupata tuzo kama filamu bora.
The great' Steven Kanumba nae alipata tuzo kama muigizaji bora wa kiume.
Msanii wa kiume mwenye mvuto Mo-racka akiwa ameshikilia tuzo yake kwa furaha.
Tetemaria kushoto pamoja na Sylvia Shally ambae alipata tuzo ya msichana mwenye mvuto... U r beautiful!!
Muigizaji ewa kike mwenye mvuto akiwa ameshikilia tuzo yake
THE BEST BLOG AWARD imekwenda kwa Issa Michuzi.. Obviously ndio penyewe hapo.. Congrats brother!!

2 comments:

juniper said...

hey..zamaradi how tall are you sister,,,

Anonymous said...

jamani bling bling na evening goun sijui uvaaji gani huu