PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
5 comments:
hao wote ni waongo na mambumbumbu,hamna kitu kichwani(zero critical thinking),hawajui hata wanachoimba maana yake nini especially huyo prof jay ndo zero wa namba 1 kichwani...analalamika halafu anakula matapishi yake mwenyewe,SIJUI NI NJAA KALI AU...NA MTAKUWA NA NJAA KALI MPAKA MILELE KAMA WAFUASI WA KIBWETERE....NA KAZI ZENU HATUNUNUI NG'OOOO MAANA MNAWASAIDIA MAFISADI HUKU WANANCHI WENGI HAWANA KITU,SHULE MBOVU NA HAZINA WALIMU...NYI HATA KUHAMASISHA HAMTAKI...SHAME ON THOSE GUYS WHO PRETEND TO BE SMART..
Hawa wote njaa tu inawasumbua.Unaponda kisha unarudi kule kule. Ila dhamira zao zinawasuta.Hapo swala la haki miliki vipi limeshapatiwa ufumbuzi au mkipewa t-shirt mnasahau yote. Mbadilike. Nawakubali Wagosi na yule dada aliyeimba Mr.politian wanajua nini wanafanya.
Mdau
Waone sasa walivyotoa mimeno yao, watakula hizo Cd zao au wakamuuzie Kikwete zote.
KICHEFUCHEFU
hawa hawajachangia CCM ila CCM imewachangia wao ...
kweli hawana akili ....
watakufa masikini ....
Post a Comment