Tell me...
Nakupa hiyo nafasi unataka kujua kuhusu STAR gani hapa Bongo...
Na si vibaya ukiniambia unataka kujua nini kuhusu yeye ili nikupe kitu roho inapenda...
I will do that for you ili tuweze kwenda sawa...
Hope tuko pamoja!!!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
18 comments:
NATAKA KUJUA KUHUSU KEISHA BOY FRIEND/MCHUMBA WAKE NI NANI?
Inawezekana nikawa nje ya unachokitaka wewe lakini nivumilie. Mimi napenda kukufahamu wewe juu ya haya yafuatayo. Endapo utaona nimetoka nje ya topic such that hujafurahia, nisamehe.
1. Elimu yako (nitafurahi nikifahamu juu ya shule (majina))
2. Umeolewa au bado
3. Umeisha ishi wapi na wapi huko TZ, je nje ya nchi ushawai ishi
Once again, kama nimetoka nje ya topic...sorry!
kuhusu wewe
Napenda kujua historia kwaujumla ya mcheza filamu mkubwa wa bongo Yvonne Sherry Monalisa yampaka leo
nataka kujua kuhusu kanumba, nataka kujua elimu yake kwa ujumla
kwa upande wangu naomba umuoji WEMA SEPETU kwann waandishi wanapenda kumuandika ovyo kwenye magazeti kuna watu huku mitaani wanasema kwamba yeye mwenyewe anataka ili apate umaarufu je ni kweli
Joyce kiria. napenda kujua historia yake
Me naomba muhoji Vyonne Cherly-Monalisa,kama utaweza ukipata picha aliyopiga na watoto wake wote wawili au pamoja na mama yake Natasha itakuwa mzuka sana.Ana projects gani kwa sasa?!ni ngapi nyingine zinakuja?!.Ni mafanikio gani aliyo nayo?!kama ni gari nyumba ama ana nini so far?!me ningependa kupata vitu hivyo tu.The rest nakuachia wewe.Im number one fun of her.
Nataka kujua kuhusu Lady Jaydee na AY
plz muhoji kanumba kuhusu lini ataoa na ni msichana gani yuko nae kwa sasa?
MUHOJI KANUMBA KUHUSU AIBU ZAKE AKUTANAPO NA WATU HASAHASA MADEMU KWANINI BUWA HIVYO?
STEVEN KANUMBA
ALL abt miss Wolper,hasa asili yake, mcheza filamu wa tanzania.
nataka kujua Elimu ya jide
Mi nataka kujua kuhusi Nina yule wa kaole.nataka kujua yuko wapi,naendelea na sanaa ya kuigiza. Ni hayo tu.
Erica
NATAKA KUJUA KUHUSU JOYCE KIRIA MKONGO JE NI KWELI AMEACHIKA???
mpz thanx kwa kutupa hii fursa nampenda sana lad jay dee nataka kujua elimu yake matarajio yake na swala zima la familia,in familly issue nataka kujua anataman kuwa na baby or not,coz its 5 yrs ya ndoa yao bt simuoni hata na ujauzito i wish watafute hata baby mmoja wa kumrithisha kipaji chake najua kupitia husband wake Gardner tutapata majibu soon,than a lt
nataka kujua kuhusu lady jay dee
Post a Comment