Thursday, May 20, 2010

KUMECHISHA SIO NGUO PEKE YAKE

Unaweza ukaangalia jinsi mpangilio ulivyo kuanzia Hereni, bangles, nguo, na kucha... so tusikariri kumatch si nguo peke yake.

7 comments:

Anonymous said...

kweli amendeza sana..rangi zimeendana..

Anonymous said...

nilifikiri coments zangu hazifiki.. vipi ulituahidi utatuwekea habari za wasanii na tukakutumia majina ya wasanii mbona bado jamani au.. tuambie basi tusubiri lakini kukaa kimya haipendezi..

khadija said...

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah jamani tangu tarehe 20 till today nimefungua no new posts.

Anonymous said...

We zamaradi funga blog kama imekushinda.

Anonymous said...

WAPI HABARI ZA WASANII!!

Anonymous said...

zamaradi umeshapona sasa na pole kwa kuumwa..VIPI ULISEMA UTATUWEKEA HABARI ZA WASANII NA TUKAKUTUMIA MAJINA.. MBONA KIMYA, MBONA HILO HULIONGELEI..NIMESHATUMA COMMENTS KADHAA KUHUSU HILO ILA HUJIBUC CHOCHOTE AU NI KUWA HUTUJALI FANS WAKO??

Anonymous said...

kweli nakumbuka ulitoa post yako moja kuwa utatupa habari za wasanii.. mi naona wewe blog imekushinda.. bora uifunge tu.. kama unaweza ahidi fans wako iweje sasa uwaangushe chini?? na huwapi habari yoyote.. umekaa kimya.. kweli ku run blog sio lele mama..kwa mtaji huu itakuwa ngumu Zama hata kupata wafadhili..