Friday, May 14, 2010

NAWASALIMU TU.........

Si vibaya ijumaa ya leo nikitoa japo salamu tu kwa wadau wa blog hii.....

Nikiwa na REUBEN NDEGE (Ncha kali) mzee wa 255 ndani ya XXL ya Clouds FM the people station

4 comments:

Anonymous said...

zamaradi you ar so cute my dear,yaani umependeza mpaka basi and i wish nikuoe kwa kuwa niko singo,unasemajee.........ila umependeza sana bibie sijui nisemeje..maana umenikuna roho ile mbaya...wishing u a goodluck...mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

You are so beutiful Zam. Kila mara nifunguapo computer yangu huwa naangala picha yako ya blog, sasa umeweka na hii......duuuuh inahitaji moyo otherwise I LOVE YOU ZAM

Sijafurahia picha uliopiga na reuben ndege, ulivyomshika i wish i was me.....

Anonymous said...

mambo zama, mi napenda style yako ya nywele, vipi unaweza niambia ni wapi unatengeneza, na izo nywele ni zako?

Anonymous said...

ni msichana mzuri zamaradi,ila kuwa mwangalifu sana mienendo yako hasa na huyo bwana ambae ss hv uko nae,we unamjua kbs huyo kaka tabia yake halafu na ww unajiingiza humo humo,cku niliyokuona pale best bite na yule bwana nilickitika sana tena ukiwa na shamsa ford,ukiwa huna hata wacwac mnanong'onezana na kushikashika ckuamini au ndo mumeo jamani? km ni mumeo nisamehe