PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
6 comments:
Picha ya mwanga kidogo, wote warembo sana.
Zamaradi bby uwe active kwenye blog yako bwana kuna macelebrity wabngapi wa kuwahoji mbona unatukaushia?Kuwa active kama Michuzi,8020 zinatupa raha na ndipo utapata sponsors kibao kuwa mbunifu sister
ya kwanza bombaaa
I luv u Zamaradi!!
mmependeza hii ya mwangaza zaidi ndo iko bomba....
safi kabisa ,ila huyo mrembo Keisha mbona ka nenepa sanaaa hata ile figa imepotea kulikoni mrembo
Post a Comment