Tuesday, May 18, 2010

SHUKRANI KWA WOOTE TULIOKUWA PAMOJA KATIKA 40 YA MZEE WANGU

baadhi ya watu tuliokuwa pamoja ....... Asanteni wooote kwa kujumuika nasi.
Hifla kushoto akiwa na Aunt Ezekiel... Asanteni sana wapendwa kwa kufika

Aunt akiwa na Amanda
Brothers.. Venture kushoto akiwa anatabasamu pamoja na Gerald Hando.. i really appreciate thanks alot guys
Kutoka kushoto Dj Venture, gerald hando, Jackueline Wolper, Wakuvanga(Mama Bere) pamoja na Bazo Komu.... Nawashukuru sana sana.. MUNGU awabariki sana!!!

Mwasitii... mummie love u soooo much
From left Neema Chande,Hifla, Aunt Ezekiel pamoja na Amanda Posh
Hilda, Mwasiti pamoja na Shamsa Ford (she is always there for me.. luv u ma')
Hilda Lema, Mwasiti pamoja na Shamsa ... thank u guys!!
Aunt Ezekiel na Jackueline Wolper
Muda muafaka

Nas tatu kushoto mwenye kanzu nyeupe akiwa na mshkaji wake katikati pamoja na the best Dancer wa pale THT 'the boy' ... vijana wamebadilika kabisa swagga ilikuwa ni kanzu tu.. thank u guys
the boy kutoka THT akiwa na JUX pamoja na Mo-racka... I really appreciate ujio wenu
Muda muafaka

Thanks to all of you guys ambao tulikuwa pamoja.. bila kuwasahau GEA HABIB, CHENI, TINO, SAJUKI, MZEE CHILO, ANTONIO NUGAZ, MUSA GEORGE, BAGA na wooooooooooote tuliokuwa pamoja na hata ambao hatukuwa pamoja shukrani ziwajie wote.
Tuko pamoja!!!!7 comments:

Anonymous said...

Inasikitisha, yaani kwenye 40 mtu unavaa sun glasses? inakuja kweli kichwani?

watila said...

dah utakosa la kusema ?

sasa kwenye arubaini avae nini kofia

wacha kufanya yawe magumu mdogo wangu

hellen said...

jamani nimependa mavazi ya kina dada magauni yao nimeyazimia namazuri sana ,kiukweli mlitoka ki 40 kabisa ,tuko pamoja zama kumwombea babaetu apumzike kwa amani ,

Anonymous said...

Yaani ni aibu sehemu kama hiyo ambayo qur'an inasomwa ni aibu sana watu kuvaa kama wanaenda kwenye birthday...hiyo sunglasses sio issue...ila hao walojiremba nywele zao na kuziacha wazi..LABDA KAMA ZAMARADI NI MKRISO LAKIN KAMA NI MUISLAM SEHEMU KAMA HIYO WATU WANATAKIWA WAJISTIRI, NEXT TIME KWENYE MAMBO YA KIMUNGU ALIKA WATU WENYE MIELEKEO NA SIO KUALIKA OVYO OVYO HATA MALAIKA HAWEZI SOGEA ENEO KAMA HILO UNADHANI HIZO DUA ZITAFIKA VIPI KAMA MALAIKA HAWAPO PIA...Inshallah allah azipokee dua zote...Ameen.

Anonymous said...

Yaani ni aibu sehemu kama hiyo ambayo qur'an inasomwa ni aibu sana watu kuvaa kama wanaenda kwenye birthday...hiyo sunglasses sio issue...ila hao walojiremba nywele zao na kuziacha wazi..LABDA KAMA ZAMARADI NI MKRISO LAKIN KAMA NI MUISLAM SEHEMU KAMA HIYO WATU WANATAKIWA WAJISTIRI, NEXT TIME KWENYE MAMBO YA KIMUNGU ALIKA WATU WENYE MIELEKEO NA SIO KUALIKA OVYO OVYO HATA MALAIKA HAWEZI SOGEA ENEO KAMA HILO UNADHANI HIZO DUA ZITAFIKA VIPI KAMA MALAIKA HAWAPO PIA...Inshallah allah azipokee dua zote...Ameen.

Anonymous said...

naomba tu kuuliza? Jackline Wolper na hizo kucha zake na huo msosi wa kukandamiza kwa mikono alikuwa anakulaje?
Jamani wasanii msipende kuonyesha usanii wenu kila mahali jamani, kuna maeneo mtajikuta mnaumbuka bure. Kwanza kitu kama kucha ni za kubandika tu, unashindwa nini kuzitoa maeneo kama hayo?
Nawasilisha

Anonymous said...

kaazi kwelikweli. hiyo ndo kampani ya zamaradi kutokana na kazi yake inayompeleka uani nk. ni kampani ya kisanii sanii. Mungu anajua kuchambua hata kama unga ukuchanganyika na mchanga atachambua tu sio ishu istoshe wewe uliesema ukiwa muislamu ujistiri umekosea hasa kwenye hizi blog ambapo tunasoma wote; anamaanisha nini? yaani wakristo ruksa kuvunja maadili? Mungu anaangalia roho yako wewe BIN ADAM! vipi umekuja hapo je kama unamsengenya mtu ama wewe ni mwanga hata ukijifunika na mashuka yote duniani wewe moto ni wako tu so TAKE CARE usimwongoze Mungu ila muogope Mungu sisi sote ni wa kwake.