Wednesday, May 19, 2010

UNAKUMBUKA ENZI HIZO - PICHA BLACK N WHITE...

Enzi hizo picha zilikuwa kama hivi...... hakukuwa na option nyingine lakini sasahivi black & white utake mwenyewe tu.. ingawa zina utamu wake kidogo.. hapo nikiwa kama mtu wa zamani.
Kwasasa improvement unaonekana kama ulivyo sio zamani nyekundu inaonekana nyeusi...
Hapo ni BUGGY MASTER kushoto, MWASITI akiwa kati na MIMI hapo pembeni kulia...

Mwasiti akiwa na blue na mimi pembeni.. ONE LOVE!!!!


3 comments:

Anonymous said...

Hello sister! If you ask me, do you love me?......definetely jibu ni NDIOOOOOO. Umependeza dada yangu, you are one of the most beautiful girls. Basi siku moja uje utuambia, your life story ili tujuwe. Inawezekana tunaogopa kuja kwa kuzana upo chini ya himaya furani kumbe upo single. Truely, Nakupenda dada yangu. Na hamu sana nikuone live, inawezekana picha zinanidanganya....All in all, picha zako ni nzuri sana

Anonymous said...

We ni kazuri aisee

Anonymous said...

Hivi unajua kama umefanana na KELLY ROWLAND yule wa destiny's Child zamani?