Monday, May 3, 2010

THE TOP MODEL - FIDELINE IRANGA

Na yeye siku ya jana alipata tuzo kama MODEL mwenye mvuto hapa BONGO.. go fide.. go fide....!!

13 comments:

Anonymous said...

Model mwenye mvuto? mvuto with respect to what? Tufafanulia plz!

Hongera Iranga, Fideline

Anonymous said...

kha hapo bomu!!!!!!

Anonymous said...

Ana mwili mzuri lakini kajiharibu kutia mekup zake mpaka anatisha yani.

Anonymous said...

Tena anaonekana kama mpoki, jamani tuwaache kuwananga watu watu. sasa huyu dada ana mvuto wa nini? wa kuvaa uchi au? hamna kitu hapo

Anonymous said...

yani mi sijaelewa,model mwenye mvuto???????

lily said...

hahahahahahah..teh teh teh sitaki kucheka maana iyo picha kama jini flan uwiiiiiiiiiiii watoto wakiona watakimbia

Anonymous said...

jamani jamani jamani..dhambi hizi...hao waliompa hiyo award wanamchora au? basically sijaona

Anonymous said...

hustahili kwakweli, zamaradi hebu toa hiyo picha haraka inakuchafulia blog yako, hicho ni kituko cha mwaka, hivi huo mvuto alishindanishwa na bi kidude au? kinyaa

Anonymous said...

kwakweli acheni tu watu wengine wajitoe kwenye hizi tuzo mana wandaaji wakatimwingine wanakurupuka huyu Fide ana vigezo gani vya kuwa MODEL??

Anonymous said...

jamani haya ni makubwa ivi smiling faces wanajua Model ni mtu gani??huyu ni miss BANTU ambae inabidi apewe darasa la kupangilia MAKEUPS hata mavazi

Anonymous said...

YOU GUYS ,YES SHE CAN BE A MODEL HAVE YOU EVER HEARD OF PLUS SIZE MODELS?SHIDA KUBWA YA HUYU DADA NI DRESSING UP IN TRASHY WAY.Halafu siku hizi kaingilia na makeup za ajabu..Hata simuelewi kwa kweli

kekue said...

?!

Anonymous said...

afadhali hata make-up za mpoki