Wednesday, May 5, 2010

UNAWAJUA HAWA??? UPCOMING MOVIE STARS.. BONGOWOOD

Kutoka kushoto Zamda Salim na Monica Malaki.. Nyota mpya kabisa katika filamu Bongo. Utawapata kupitia filamu kama Hot friday na nyinginezo nyingi hasa za RJ company. ni kitu kizuri sana kuwa na watu wapya kwenye industry kwani wanaleta changamoto kwa wakongwe na kufanya watu wafanye kazi nzuri zaidi.
Jina lake halisi ni MONICA MALAKI utampata kupitia filamu ya HOT FRIDAY kama main character(mhusika mkuu) na pia kwenye MY DREAMS ambapo amecheza scene chache.
Anaitwa Zamda Salim, filamu alizofanya kama main character mpaka sasa ni UNFORTUNATE LOVE, BORN AGAIN na HOT FRIDAY na mbali na hizo kuna nyingine nyingi alizocheza scene kadhaa kama THE IMAGE, MY DREAMS(3), WAKTI na nyinginezo nyingi ambazo hazijatoka.
Wakiwa kwenye pozi la pamoja...

4 comments:

Anonymous said...

HAKIKA INATIA MOYO KUONA TANZANIA TUNAENDELEA VIZURI KATIKA MAMBO YA FILM.
CHA KUSIKITISHA TANZANIA FILM ZETU MARA NYINGI HUONYESHA MAMBO YA WACHAWI KUFANIKISHA NA HII HAKIKA INARUDISHA NYUMA MAENDELEO.
NI MUHIMU SANA TANZANIA KUUPIGA VITA UCHAWI KWA KUTUMIA FILM MAANA NI UONGO MTUPU NA HIVYO KUWAFANYA WATANZANIA 95% KUAMANI UPUUZI HUU.

HIVYO NIMGALIOMBA KUFANYA FILM ZA KUNYESHA JUHUDI, ELIMU NA MPANGILIO NDIO MAFANIKIO YA MAISHA VINGINEVYO TUTAKUWA MASIKINI WAKATI NCHI YETU TAJIRI. MOHAMMED AL BALUSHI

Anonymous said...

mh!
mimi hata mkinitukana nitukaneni lakini kinachotatiza nitakisema tu
KWANI HUWEZI KUWA STAR HADI UVAE NGUO FUPI?

Anonymous said...

samahanini jamani,
mbona huyo mwenye weaving vimacho vyake vijanja sana, kama anaumwa dege dege???????
samahanini lakini

Anonymous said...

kusema kwel mnajitahid sana dada zangu....big up sanasana sis zamda