Tuesday, May 4, 2010

HAPPY BIRTHDAY DJ VENTURE

Siku ya leo mmoja kati ya Brothers ambao tuko wote hapa Clouds ametimiza miaka yake kadhaa ya kuzaliwa...

Kila jumamosi huwa anatusababishia pale Mzalendo Pub Millenium tower unaweza ukapitia jumamosi hii uone pana happen kiasi gani.

Wish you luck in everything you do na MUNGU akubariki sana.

HAPPY BIRTHDAY BROTHER.....

1 comment:

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY BROTHER.
MUNGU AKUJALIE KHERI NA UBAYA AKUEPUSHIE, AKUTANGULIE KATIKA JAMBO ULIFANYALO. SORRY WE DIDN'T MEET.


Shangwe.