Tuesday, June 1, 2010

USIKOSE CLOUDS TV LEO USIKU

PAUL JAMES na SHAFII DAUDA

Utamu wote uko hapa leo hii ukizingatia KOMBE LA DUNIA ndio liko njiani..

Umezoea kuwasikia lakini leo utawaona LIVE kabisa ndani ya CLOUDS TELEVISION wakikuchambulia mambo mbalimbali kuhusiana na SOKA kwenye kipindi chao "ROAD TO SOUTH AFRICA"

NI LEO HII ndani ya CLOUDS TV saa TATU NA NUSU usiku.. USIKOSE!!!!

2 comments:

Anonymous said...

Hi! zamaradi mimi naitwa sharifa niko tanga. mumy huku tanga mbona hatupati hiyo clouds tv? coz tunahamu sana ya kuwaona live Pls reply my mail.

Anonymous said...

Vipi Zamaradi...My name is Joyce from Arusha

Hata sisi wa Arusha vipi mna mpango gani... we are missing things.. Pls tueleze whats the plan