Tuesday, June 8, 2010

CLOUDS MEDIA GROUP IMETOKA MBALI....!!!

Mabosi zetu enzi hizo za mwalimu.. JOSEPH KUSSAGA(kushoto) na RUGE MUTAHABA (kulia) (wadogooo) wakiwa na DJ MIND MOTION (katikati) wakati huo alikuwa ni NUMBER ONE DJ wa SAN FRANSISCO, hapo ilikuwa ni MAREKANI mwaka 1998.

Kila kwenye mafanikio kuna mwanzo wake.. Focus is everything in life.. hapo Bosi wetu JOSEPH KUSSAGA akiwa mitamboni.. ulikuwa kama ni mwanzo tu wa safari ambao ndio umesababisha CLOUDS unayoiskia sasahivi.

Kutoka kushoto JOSEPH KUSSAGA (mwenye shati la blue), BONNY LUV, wadada wawili ambao majina yao sikufanikiwa kuyapata, RUGE MUTAHABA mwenye shati ya brown na kwa huko juu kutoka kushoto ni DAUDI LEMBUYA na OTHMAN NJAIDI.

Vichwa vilivyoifanya Clouds ifike hapa ilipo.. RUGE MUTAHABA(katikati) na JOSEPH KUSSAGA (kulia).. wakiwa na Dj Mind Motion the number ONE Dj wa enzi hizo huko San fransisco.

Penye nia pana njia... Kutoka Disco la kawaida mpaka kumiliki Radio ambayo ni TALK OF THE TOWN and THE HOTTEST RADIO STATION in Tanzania CLOUDS FM, CLOUDS TV, CHOICE FM, COCONUT FM -Zanzibar, PRIME TIME PROMOTIONS pamoja na kutoa MCHANGO mkubwa sana kwenye Entertainment industry ya Tanzania na mafanikio mengine mengi.

SALUTE!!!!

No comments: