Wednesday, June 16, 2010

KATIKA SUPRISE PARTY YA JAYDEE

Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Lady Jaydee na mume wake GADNA G. akaamua kumfanyia suprise party ambapo akaalika wadau tofautitofauti na watu wa karibu wa jaydee bila yeye mwenyewe kujua..
Na furaha zote akiwa na mdogo wake

Mimi hapo kushoto nikiwa na Rommy Jones na my best friend Shamsa Ford..

Mbele ya Jikeki

Baadhi ya wadau waliokuwepo.. Shumileta na Zamda

Kutoka kushoto mbunge mtarajiwa shy-rose Bhanji, Mimi, Rommy Jones, Shamsa, Gadna na Khadija Mwanamboka

Jafarhai, Dabo, Jaydee, Shadee, Moracka, Mshkaji mwingine na Shaa, it was fun!!!

3 comments:

Anonymous said...

Siimpi my vote.......labda viti maalamu...lol

Anonymous said...

Zamaradi bby hapo umenifurahisha kuweka picha za bday ya komandoooo.... blog yako inakuwa kimya mno na tunakuona kwenye matukio mengi tu huwa huchukui camera yako?Bwana kuwa active na sharp!

Anonymous said...

mambo zamaradi.nakukubali sana ila punguza kuringa unatuboa mashabiki wako.halafu kila kitu ww unajua umekuwa malaika ?punguza dada.ukiacha hayo nakukubali sana