Tuesday, June 1, 2010

POLENI SANA!!

Kwa muda kama wa wiki nzima nilikuwa kimya na hakukuwa na kipya chochote ndani ya Blog yetu hii sababu kubwa ikiwa ni MALARIA kali iliyopelekea mpaka kulazwa hospitalini, na si kwenye blog tu bali hata kazini sikuweza kufika kwa kipindi chote hiko na hivyo kutosikika kwenye mambo yetu yale ya movie.. Nimepata message nyingi sana za lawama kwa upande wa blog sababu hawakuwa wanajua kinachoendelea..
Naomba nichukuee nafasi hii KUOMBA RADHI kwa hilo.. kwa wale wadau poleni sana.. Tuko pamoja
Asante.

6 comments:

Anonymous said...

Oooooon my Zam, pole sana! Hope sasa upo fiti!

Anonymous said...

Zam pole mpenzi

Anonymous said...

Anonymous said...
NATAKA KUJUA KUHUSU KEISHA BOY FRIEND/MCHUMBA WAKE NI NANI?

May 12, 2010 3:43 PM


Anonymous said...
Inawezekana nikawa nje ya unachokitaka wewe lakini nivumilie. Mimi napenda kukufahamu wewe juu ya haya yafuatayo. Endapo utaona nimetoka nje ya topic such that hujafurahia, nisamehe.

1. Elimu yako (nitafurahi nikifahamu juu ya shule (majina))
2. Umeolewa au bado
3. Umeisha ishi wapi na wapi huko TZ, je nje ya nchi ushawai ishi

Once again, kama nimetoka nje ya topic...sorry!

May 12, 2010 7:03 PM


Anonymous said...
kuhusu wewe

May 13, 2010 1:49 AM


Anonymous said...
Napenda kujua historia kwaujumla ya mcheza filamu mkubwa wa bongo Yvonne Sherry Monalisa yampaka leo

May 13, 2010 6:35 AM


Anonymous said...
nataka kujua kuhusu kanumba, nataka kujua elimu yake kwa ujumla

May 13, 2010 7:57 AM


Anonymous said...
kwa upande wangu naomba umuoji WEMA SEPETU kwann waandishi wanapenda kumuandika ovyo kwenye magazeti kuna watu huku mitaani wanasema kwamba yeye mwenyewe anataka ili apate umaarufu je ni kweli

May 13, 2010 11:04 AM


mrembo said...
Joyce kiria. napenda kujua historia yake

May 13, 2010 4:55 PM


Yusuph M said...
Me naomba muhoji Vyonne Cherly-Monalisa,kama utaweza ukipata picha aliyopiga na watoto wake wote wawili au pamoja na mama yake Natasha itakuwa mzuka sana.Ana projects gani kwa sasa?!ni ngapi nyingine zinakuja?!.Ni mafanikio gani aliyo nayo?!kama ni gari nyumba ama ana nini so far?!me ningependa kupata vitu hivyo tu.The rest nakuachia wewe.Im number one fun of her.

May 14, 2010 2:26 AM


Anonymous said...
Nataka kujua kuhusu Lady Jaydee na AY

May 14, 2010 4:42 PM


Anonymous said...
plz muhoji kanumba kuhusu lini ataoa na ni msichana gani yuko nae kwa sasa?

May 15, 2010 4:43 AM


Anonymous said...
MUHOJI KANUMBA KUHUSU AIBU ZAKE AKUTANAPO NA WATU HASAHASA MADEMU KWANINI BUWA HIVYO?

May 15, 2010 4:45 AM


Anonymous said...
STEVEN KANUMBA

May 15, 2010 4:47 AM


Anonymous said...
ALL abt miss Wolper,hasa asili yake, mcheza filamu wa tanzania.

May 16, 2010 6:29 PM


Anonymous said...
nataka kujua Elimu ya jide

May 18, 2010 10:56 AM


lea said...
Mi nataka kujua kuhusi Nina yule wa kaole.nataka kujua yuko wapi,naendelea na sanaa ya kuigiza. Ni hayo tu.
Erica

May 18, 2010 11:07 AM


Anonymous said...
NATAKA KUJUA KUHUSU JOYCE KIRIA MKONGO JE NI KWELI AMEACHIKA???

May 20, 2010 11:24 AM


Anonymous said...
mpz thanx kwa kutupa hii fursa nampenda sana lad jay dee nataka kujua elimu yake matarajio yake na swala zima la familia,in familly issue nataka kujua anataman kuwa na baby or not,coz its 5 yrs ya ndoa yao bt simuoni hata na ujauzito i wish watafute hata baby mmoja wa kumrithisha kipaji chake najua kupitia husband wake Gardner tutapata majibu soon,than a lt

May 21, 2010 11:20 AM


Anonymous said...
nataka kujua kuhusu lady jay dee

May 24, 2010 1:18 PM


Tell me...
Nakupa hiyo nafasi unataka kujua kuhusu STAR gani hapa Bongo...
Na si vibaya ukiniambia unataka kujua nini kuhusu yeye ili nikupe kitu roho inapenda...
I will do that for you ili tuweze kwenda sawa...
Hope tuko pamoja!!!
posted by Zamaradi at 11:04 AM on May 12, 2010

Anonymous said...

pole darling,hatukujua kama uliumwa.

Anonymous said...

Zamaradi umeweka maoni tena ambayo watu walikuomba uwatumie habari hizo za hao wasanii.. sasa mbona huweki jamanii.. usibanie comments

Anonymous said...

pole sana mama, i ddnt know that, but i hope uko poa now, nimerud
-Ashery