Tuesday, June 8, 2010

HATIMAE MTU NINAEMJUA AKWEA PIPA...

Kuna hii promotion inayoendelea ya 'KWEA PIPA NA COCA COLA' ambayo inahusisha zawadi ya kwenda South Africa kushuhudia kombe la dunia...
Leo hapa ofisini kwa macho yangu nimeshuhudia mtu ninaemjua akifungua kisoda na kukuta hali hiyo unayoiona ambayo ndio zawadi kubwa (Ticket ya kwenda south Africa kushuhudia Kombe la dunia).
Kwahiyo inadhihirisha kabisa zawadi zipo, endelea kunywa soda halafu ufungue kizibo unaweza ukawa mshindi mwingine.

No comments: