Tuesday, June 8, 2010

JIDE - A TRUE DIVA.. I LOVE THIS WOMAN!!

Anaitwa Judith wambura Mbibo.. The Wife of Captain Gadna G. Habash, ukiniuliza sababu kwanini nampenda huyu mtu naweza nikawa sina Strong reason lakini ni mmoja kati ya watu wanaoni-INSPIRE sana hapa Tanzania.
Hapa nikiwa katika moja ya show zake..

Kutoka kushoto JOAN, lady jaydee katikati pamoja na mimi hapo pembeni.

1 comment:

Anonymous said...

Mi nakupenda wewe zamaradi , kuna kitu ambacho unacho nashindwa kukielezea aisee, nimeshakuona zaidi ya mara moja na zote nimevutiwa na wewe, we ni aina ya msichana ambae hata wawepo wasichana mia we utaonekana tu. una UPEKEE fulani, sijui nielezeeje unielewe lakini jua kuna kitu Mungu kakubariki nacho ambacho wasichana wengi hawana. Uko UNIQUE na una mvuto fulani hivi ambao siwezi kuulezea. keep rocking am ur number one fan.