Monday, June 28, 2010

UJAUZITO ULIVYOMBADILISHA ALICIA KEYS

mwanamke ukiwa na Ujauzito chochote kinaweza kikatokea, aidha ikakupenda na ukapendeza ama ikawa tofauti na vitu kama vilivyomtokea Alicia keys huko usoni na mwilini mwake vikakukumba pia.. ingawa mara nyingi reactions hizi huwa za muda mfupi.
Hapo juu alicia keys akiwa ameharibika usoni kutokana na ujauzito.

Hapa katumbo kakiwa kamechomoza kwa mbaali She looks good kwakweli (napenda kumuona msichana akiwa na mimba)

Its good unapokuwa kwenye hali hii uwe na mwenzio pembeni mkiwa free with love ina raha yake sana sio Kujifichaficha (tangulia nakuja).. hapo Alicia keys akiwa na baba watoto mtarajiwa Swiss Beats

On stage kama kawa na kitumbo.. No viatu virefu anafata rules za ujauzito.. Saafi!!

Kupendeza kama kawa.. kuwa mjamzito haina maana ya kwamba ndio uwe rafu na hovyohovyo, kuna nguo nyingi ambazo mjamzito anaweza akavaa na bado akapendeza na kuvutia, maana kuna watu wakiwa wajawazito wanajiachia mpaka wanakuwa wachafu sasa.

7 comments:

BabyAmore said...

basi wengingine tena hapo wanaanza kuhangaika na madawa hayo ni mabadiliko ya kawaida katika kila mama mjamzito tembeeni muone wenzetu hata wahababaiki na mkumbuke mnawaathiri watoto

Anonymous said...

zama huyu shosti vichunusi wala si mimba ndivo alivo make ups ndo zinambeba ana ngozi mbaya sn hata mwenyewe aliwaisema na sasa ana mimba naisi ndo balaa na si yeye tu hata britney,pamoja na vicky beckham sura zao kwishney kwa machunusi

Anonymous said...

sasa huo ndio uso halisi wa Alicia Keys na wala si kwa sababu ya ujauzito yaani paka utamuhurumia ana uso wenye ma acne sugu halafu yaanacha black spot.

mariana said...

zamaradi embu nambia kwa hapa dar nguo kama vigauni ama nguo zozote za mama wajawazito zapatikana wapi maana mie ndo kwanza linaanza bado navaa vinguo vyangu vya kisichana,

Anonymous said...

nenda kariakoo kibao, kama super star tembelea ma-boutique ukapigwe bakora za bei kwa vitu vya kariakoo hivyo hivyo

Anonymous said...

sikiliza nikwambie unless umepata mimba ndio utajua what really goes on,remember each pregnancy is a difference experience unaweza ukawa na mimba hata nywele ukawa upendi kuchana its hormonal, Kuna watu automatically tu wana hulka ya uchafu hao hawana msaada ila kuna mtu anaweza kuwa msafi once akiwa tu na mimba au akawa mchafu, Pregnancy sio kitu cha mchezo you are caring a life inside so inaweza kukupeleka vyovyote. One person can be fashionable and clean another dirty and doesn't care so please respect a pregnant woman regardless how she looks because like I said hormones can make you do things you never thought in a million years you'll do ni kuomba tu mimba ikujie vizuri

Anonymous said...

Alicia is hot with or without mimba....nampenda sanaaaaa tuuu,big up gal u rock....