
Usiku wa jana logo ya CLOUDS TELEVISION iliweza kuzinduliwa rasmi pale club Billicanas na hivyo kuanzia leo ukiangalia Clouds TV hutaona neno 'signal test' tena ila hiko ndio kitakachoonekana.

Pichani wakurugenzi wa Clouds Media Group kutoka kushoto Joseph Kussaga pamoja na Ruge Mutahaba(kulia) wakitoa machache pamoja na shukrani kwa wageni waalikwa.

Mr. Ruge Mutahaba akitoa utambulisho kwa behind the Scene team ya clouds TV.
2 comments:
All the best Clouds TV
huyu mshikaji ivo viatu vekundu atatiwa navo alama duh!!!!!!!!!!! abadilishe badilishe bwana
Post a Comment