Hongera Da Zena wa Clouds Media Group kwa kutuletea Baby Gal.. Inshaallah MUNGU akujalie na akukuzie!!!!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
7 comments:
waswaili bwana mtoto mdogo washamtia hirizi mkononi ivi hizi imani bado tunazo???????? mungu ndie anaekuza na kumlinda ukiwa na mashaka tu basi na akili yako haimbiliki kitu bila Hirizi. tuamkeni jamani
Kah,mtoto mzuri ila ndo mshamfunga na mahirizi tayari kwanini we dada unakua na imani za hivyo?tuache tabia hizo zilizopita na wakati...
HIYO SI HIRIZI ACHENI USHAMBA MAMBO YA MILA NA DESTURI HAYO. MNAJIFANYA WAZUUUUNGU NA WKT ENZI ZA UTOTO WENU MLIFUNGWA HIZO.
Mimi kuna kitu nimegundua, sijui wenzangu mlishakifanyia utafiti. Watoto wanapokuwa wachanga wanakuwa kama wanafanana...eti wazazi mwasemaje?
pole be twangala haram yako halali yangu kama vip fuga mbwa mkari sana ila sikizi kuna sim kuna mitandao kibao kaka kazi kwako ila hongera sana mafataki haoooooooo
Zama we funga tu blog unajiharibia unafanya kazi mjengo mkubwa una marafiki ambao nao wapo kwenye kitengo km chako lakini stil matukio HUNA hii hongera da zena ina wiki 2 why dnt you close this shit coz u have nothing to impress us.
Huu mchezo wa kufanya ki2 kisa mwenzio kafanya ni mbaya angalia sasa umetaka blog kuiupdate huwezi
We mjinga uloandika hapo kua sisi tulivaa hayo madude nani?kama ulivaa wewe utajibeba au unafunga na wewe wanao ndo maana imekugusa??acheni mila potofu huyu ni malaika na analindwa na Mungu!mtoto mzuri mno kasoro hapo mkononi tu!
Post a Comment