PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
3 comments:
inaonyesha zama wewe sio m2 wa viwanja juu huna matukio mengi na updates zako zinatake tym sn mpk blog inaboa kwanini umeharakisha kuwa na blog??? haiwezekani wiki nzima huna jipya nini maana ya blog sasa??
duh bora useme wew sista uko nyuma kichizi get exposed sio lazima uwe viwanja habari hata za mtaani
Bora ufunge 2 hii blog, inaonyesha ulifungua kwa kufuata mkumbo, umeshanipoteza, ujinga mtupu
Post a Comment