Monday, July 19, 2010

SORRY GUYS NTAKUWA KIMYA KWA MUDA FULANI


Nimekuwa kimya kwa muda kidogo na nitaendelea kuwa kimya kwa muda fulani kutokana na sababu maalum ambayo nitaiweka wazi muda si mrefu, samahani sana kwa usumbufu ambao umejitokeza na utakaondelea kujitokeza kutokana na hilo,

Ni kweli si kwamba nakosa matukio ya kuweka yapo na yanaendelea kutokea na nina access yote ya kuwa nayo lakini niko kimya kwa maana maalum.

Asanteni sana kwa watoa comments wote (MBAYA NA NZURI) you guys u r my good fans kwa sababu mnatembelea blog yangu, nawashkuru sana na tuko pamoja.

ONE LOVE!!!

19 comments:

Anonymous said...

ila wewe sio mvivu wa kurusha picha zako...

Anonymous said...

Sasa Zamaradi, unakaa kimya miaka....bana jaribu japo kwa siku unatuwekea kitu hapa kimoja, hasahasa Picha zako, I love them sana tu....sura yako tu, basi tu sema sina uwezo wa kukufikia,,,,,nipo mbali, upo mbali nafaidi na blog yako....I love you (nakupenda) Zam

Anonymous said...

yaa. picha zako ni burdan kwetu sisi opposite sex wako. km vp wewe tuma tu wala usiseme neno. I luv you gal na wala siko mbali siku moja maybe tutaonana. I your secret admirer.
mdau k/ndoni

Anonymous said...

Au umepigwa chini nini na boyfriend wako?

Anonymous said...

Tumesikia ubusy wako umesababishwa na nini. Tukutakie kila lililojema na mafanikio lukuki.
A.C.Mpakanjia alianza alifungua njia. Safi sana Zama. Jipe moyo.........Barikiwa!!!

Anonymous said...

Zamaradi,
Blog yako nzuri sana,iendeleze,mie nataka sana unishirikishe nikuletee madondoo ya hapa na pale.niko ughaibuni na nahakika naweza changia
e mail yangu hahamud@yahoo.com

Anonymous said...

hey Girl! mambo vp? nasikia umetangaza NIA ya kugombea ubunge wa viti maalum, hongera sana baby girl keep it up nakutakia all the best katika safari yako ya kutetea wananchi hasa vijana katika nafasi hy ya ubunge. ukawe kama Dada Halima Mdee.

Neria said...

au ndio kugombea ubunge kumekukip zize mdada???? Haya jaribu karata yako mama

Anonymous said...

Kimeshanuka gp wewe tangaza tu kwa fans wako umeshachukua form. Ulifanya siri ya nini wakati unapoenda kuichukua kuna mijitu tele?? Next time usifanye makosa ya watu wengine wakutangazie - anza kujitangaza / kujifagilia mwenyewe.

Anonymous said...

Zamaradi homgera kwa kutangaza nia, gal go,go,go,go. Mbunge mtarajiwa.

Anonymous said...

Au ndio mambo ya ubunge yanakuweka busy?

Mgombea MweNza said...

tafuta wadhamini, utapata posho ya kumlipa mtu afanye kazi ya ku uptodate blog wakati wewe umebanwa na pilika za kutimiza ndoto za kwenda mjengoni.
Mfano mdogo ni michuzi, alikuwa SA lkn vijana wanaendeleza libeneke hapa Bongo, Mohamed Dewji, ameajiri watu....nakutakia kila la kheri MB mtarajiwa.

Anonymous said...

Acha usistaduu wewe kama una access ya habari si uweke kwani inachukua muda gani kupost habari. Unataka kusema hao mabloga wengine hawako busy kama wewe?

Anonymous said...

Shosti naskia unataka kuwa mbunge nakutahadharisha ukifanikiwa jiepushe na wakware huko wakina Nchimbi.

emu-three said...

Tupo pamoja we wajibika tu, au kama unajiandaa kinamna fulani ile iwe vile we twambie tu, manake yote ni yetu sote au vipi

Anonymous said...

hi

Anonymous said...

kama mtandao umekushinda waachie wakina djchoka bana, michuzi, coz uko kimya mbaya au auna data sema nikuuzie bana ha ha

Anonymous said...

kuhandle blog ni kazi sana thuswhy anaishia kutuwekea picha zake tu mjengoni kila mtu anataka kuwa na blog kama zama na luv huwa hawana cha maana kwenye blog zao kazi kuuza sura tu.!

Anonymous said...

hi
hongera bt next time jiandae kikamilifu
i hope unajua kinsi rushwa ilivyokuwa njenje ktk hiz kura za maoni na nina uhakika hukuwa na pesa za kuhonga watu,hili ni tatizo kubwa kwa CCM.Hata kama una sifa luluki but still bila pesa huwezi kupata nafasi
next time tuwasiliane ili tujue jinsi ya kusaidiana cz hata mimi ninataraji kuja kugombea mwaka 2015mungu akijaalia uzima
kwa sasa nipo masomoni BOSTON UNIVERSITY (US) for my PHD
otherwise kujaribu si kushindwa,ni ujasiri
keep it up
cheers
briaothmar@yahoo.com