We unaweza..!!!!????
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
6 comments:
Naweza ila bila mtoto mgongoni...........by the way, huyu mkaka ni houseboy au mume wa mwenye nyumba?
afadhali mwaya umeweka kitu mana binadamu hata ufanyaje hawana jema,thanx kwa update
nimeipenda hiiii, bali si dhani km ni mtanzania unajua wanaume wa kitanzania wajeuri sana kwenye maswala ya kusaidiana kazi
Me nashangazwa sana na hw wanaume zetu, ss hapo ugumu uko wapi ina mana kama mama anaumwa hawezi kubeba ht mtt so na ww utamwacha mtt andelee kulia, mbna nyie nyie mlibebwa iweje mshindwe kubeba wtt wenu? Ney D.
i wish wanaume wote wa kitanzania wangejua maana ya kusaidiana. inaleta maana zaidi na inanogesha mapenzi...... lakini hapa kwetu mama mkwe, majirani na mawifi hawakawii kuzushia limbwata
ukifanya hivi; mwanamke ni wa kwanza kuwatangazia wenzie kwamba jamaa ni bwege.
Post a Comment