Friday, June 11, 2010

MAMBO YA MISS DAR INDIAN OCEAN..

Mrembo aliefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean Usiku wa jana ALICE LUSHIKO
TATU BORA ya Miss Dar Indian Ocean

Hii ndio TOP FIVE ya Miss Dar Indian Ocean (mrembo mwenye nambari 13 ndie aliechukua taji)

Kabla ya top 5 kulikuwa na NANE BORA ambayo ndio hiyo kama unavyoiona.

Meza ya Majaji kutoka kushoto BOY GEORGE, MANGE KIMAMBI, KISA na GERALD HANDO ambae ndio alitangaza washindi.


HAPA CHINI NI BAADHI YA WAHUDHURIAJI

Waandaji wa mtanange huo (Frontline management) Nancy sumari (kushoto) pamoja na Irene Kiwia
Jokate Mwegelo

Huyu ni mshiriki ambae ataiwakilisha wilaya ya Temeke

Irene kiwia (kulia) akiwa na mdadaa

Shamim zeze (8020)

Kutoka kushoto Arnold Kayanda, Rommy Jones pamoja na Ali Model (Daxx)

Vijana nao walikuwepo kushuhudia warembo.. Nas tatu

Nikiwa na Brothers.. Ze Boy (THT) kushoto kwangu, Moracka kulia pamoja na Martin anaechungulia kwa juu hapo

nikiwa na Jokate

Nancy Sumari

Martin mvuto kwanza, Ali Daxx pamoja na Rommy Jones

Nikiwa na vijana wa mjengoni (ukikaa nao hawa unacheka tu muda wote)

12 comments:

Anonymous said...

Naomba kuuliza nini maana kuweka vidole viwili juu (Alama ya V)wakati wa kupiga picha?

Mdau

Anonymous said...

Wewe mdada kwa kupendeza! Sawa bana, tutaendelea kufaidi na kujifunza from u
Tunakupenda Zam

Anonymous said...

toka ulivyoambiwa unaoendeza na hako ka wigi sijui weaving kila pati upo nako kanakufanya unaonekana mzee.Kifupi ujatoka na huyo Jocate pozi za kulazimisha tumezichoka.

Anonymous said...

Toka ulivyopromiss kutoa habari za wasanii 2liotaka maelezo yao hujafanya hivyo leo kimbelembele kisa ulikwenda miss dar Indian ,blog inakushinda ulidhan ni sehemu ya kuuzia sura tunahitaji update every day .Shwain..hat usipoipublish msg derivered

Anonymous said...

Zama umeanza nawe mambo ya make up zisizo match na rangi yako?na kujichubua jamani aggg acha kabisa!

Anonymous said...

Mie namshangaa aliuliza kwa vishindo mpaka leo hajaleta habari hata ya msanii mmoja...nahisi yupo hapa kuuza sura hana lolote...IKIWEZEKANA TUNATAKA UMUULIZE KINYAINYA KAMA ANA MKE WA NDOA TUNATAKA KUJUA FANCY WAKE...KAMA ANA MKE JE MKEWE NI NANI? TUWEKEE PICHA ZAKE ZA HARUSI..

Anonymous said...

Mie namshangaa aliuliza kwa vishindo mpaka leo hajaleta habari hata ya msanii mmoja...nahisi yupo hapa kuuza sura hana lolote...IKIWEZEKANA TUNATAKA UMUULIZE KINYAINYA KAMA ANA MKE WA NDOA TUNATAKA KUJUA FANCY WAKE...KAMA ANA MKE JE MKEWE NI NANI? TUWEKEE PICHA ZAKE ZA HARUSI..

Anonymous said...

Jamani hata akiuza sura blog si yake!!!!! na nyie fungueni zenu.. Sura yake inauzika mwache auze

Anonymous said...

Mmemsakama habari za wasanii habari za wasanii, hizo zilizopo ni nini???? kila siku habari mnatoa wapi? wenginne tukimuona tu tunaburudika nyie mnaotaka habari tafuteni mablog mengine msituzingue hapo.Zamaradi kumbe kayanda ndio huyo? watu wa clouds bwana unaweza ukahisi wakubwaa kumbe vidogodogo tu.

Anonymous said...

DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH i cant bELIVE IRENE KIWIA AMEZEEEEEEEEEEEEKA kiasi HIKI, DAH WATANZANIA TUNA KAZI YA ZIADA KUJIMAINTAIN, anaonekana mzee kuliko WHITNEY HUSTON WAKATI NI KIDOGO SANA Kiumri kwa WHITNEY

martin Model said...

kwani hao aliowaweka sio wasanii? hapo hapo ndipo alipotokea Wema sepetu mnaemuita best actres, Irene uwoya nae katokea huku huku... kuna tatizo gani akikatisha katika tasnia ya ulimbwende? watanzania mbona hamna shukurani? au ni kosa yeye kuonekana? na blog ni yake so nilazima aweke picha zaka.. asipoweka hapa ataweza wapi? someni kwa kutizama bila ya kupiga kelele maana sometimes kelele zinakufanya ushindwe kuelewa unachokisoma!! do ur think Zamaradi...

Anonymous said...

zamaradi ni flower. na flower ni kuchanua. na kuchanua si kwa siri, ni wazi wazi. acheni...