Thursday, June 17, 2010

MR BLUE AIBUKIA KWENYE FILAMU

Msanii wa Bongo Flava Mr. blue ameamua kufuata nyayo za mastaa wengine wa muziki na kuamua kujiingiza kwenye Uwanja wa filamu.. BLU ameigiza katika movie yake ya kwanza kabisa akiwa chini ya Director Goodluck komba. Filamu hiyo itakwenda kwa jina la PRETTY TEACHER na ndani humo utampata Lucy komba, Mzee Chillo, idriss pamoja na wengine wengi.Mbali na BLU wasanii wengine wa muziki wa kizazi kipya ambao wameshafanya filamu ni pamoja na MAUNDA ZORRO, RAY C, Q- CHIEF na wengineo.

Hapa akiwa na Lucy Komba

Picha kwa hisani ya ISSA MICHUZI

5 comments:

Anonymous said...

zamaradi inakuwaje mbona ujaeka e-mail yako kwenye web yako tumeitafuta sana tukutumie picha za mr.blue na lucy komba but wapi ila sio mbaya thanks a lot lakini coz all in all umezipata and umezifanyia kazi. please weka e-mail yako mwanzoni mwanzoni bana tuwe twakutumia ma e-mail yaukwel

mdau said...

vipi leo bado hujaamka nini?? tuwekee mambo bana

mdau said...

unaniudhii kila nikifungua yale yale

mdau said...

wee vipi?? mi naacha kuendelea kutazama blog yako hamna jipya,utapata funs wengine kibao lkn mie ushanipoteza

Anonymous said...

jamani hizi blog si mchezo kama huna kipya cha kuweka bora ufunge, kila siku kitu hicho hicho kinachosha, jaribu kuwa mbunifu, utapoteza wateja wako