Monday, June 14, 2010

MWANAMKE UREMBO - USIONE VYAELEA

NILIMBAMBA KEISHA SALON MOJA AKIJIWEKA SAWA
Nilimkuta Keisha salon moja hivi akijitayarisha kwa ajili ya Graduation yake ya kumaliza Form Six inayofanyika leo pale Laureate international school, hapa akiwa anatengenezwa nyusi

HAIR DO - BEFORE
hapa kabla haijamaliziwa style yake ya nywele ilikuwa ikionekana hivi

Hapa weaving likishashonewa linakatwa kistyle ili kitokee kitu kizuri

Mambo ya Sandra hayo kama unavyomuona.. Busy mwenyewe akimuweka sawa mdada

HAIR DO - AFTER

Hapa ndio mambo yamemalizika kwa nyuma inaonekana hivyo

Kwambele ndio kama unavyoiona

hapo mdada ameshapendeza.. Mwanamke Urembo

4 comments:

happy said...

kapendeza tena sana ila naomba kuuliza tu si kwa ubaya hii mambo ya drier na masaloon kupaka paka mavitu haimuathiri ngozi yake maana kama katengeneza hivo sidhani kama ataifunika kichwa hivo na jua kumuharibu,mana ni mdada mzuri lkn kaharibika kwasababu ajitunzi na mionzi ya jua na mambo ya salon,kusuka sawa je kuosha anakausha na nini? mshauri inaonekana uko nae karibu kimtindo ngozi yake haipendi shuruba tunampenda na tunapenda awe ktk hali nzuri.

Anonymous said...

JAMANI MI NIMEPENDA HIYO STYLE YA WEAVING. NI SALUNI GANI ZAMARADI NA MIMI NIENDE THIS WEEKEND?

Anonymous said...

Ni salon moja ipo kinondoni kwa manyanya inaitwa Top spot pale kwa mwaulanga

Bazizane said...

Kapendeza sana na nampenda sana Keisha.