Wednesday, June 9, 2010

HAPPY BIRTHDAY BIG BOSS

Leo siku ya tarehe 9th June ndio kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Managing director wa CLOUDS fm Mr. Joseph Kussaga.. HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!
Ze cakeIlikuwa kama suprise kwake yeye hakujua kinachoendelea... Hapo juu ni baadhi ya wafanyakazi wa Clouds Entertainment wakimpongeza!!!

1 comment:

Ram said...

i m feeling to eat this cake.. :)