Thursday, June 10, 2010

USINIZINGUE...............

Hiyo picha ni kama inaongea hivyo.. hata mimi naziweza!!

BI KIDUDE akiwa na Geah habib katika utani wa hapa na pale na wajukuu zake.

Ukipata bahati ya kukaa na bi kidude hutanuna hata sekunde moja, ni mtu anaefurahisha sana kwa waliobahatika kukaa nae watakiri kitu hiko.. anachekesha mno!!!

1 comment:

Anonymous said...

Gea angepigwa vizuri tu, au mgemuamulia!