Thursday, June 3, 2010

FASHION FOR EDUCATION NDANI YA JAHAZI LEO

Nancy Sumari (Mratibu) akiwa na Ally Rhemtulla ambae ni mbunifu wa mavazi katika show ya Fashion for education.. ambayo ni FASHION show kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia shule za sekondari Tanzania.
Hapa wakiwa na CAPTAIN Gadna G. Habash ndani ya studio za Clouds FM leo katika kipindi cha JAHAZI

Onesho hili litafanyika jumamosi hii ya tarehe 5 June 2010 katika hoteli ya DOUBLE TREE by Hilton pale Masaki kwa kiingilio cha 50,000/- tu

Hii ilikuwa ni LEO ndani ya JAHAZI la Captaiin kama unavyomuona pichani akiwa na NANCY pamoja na ALLY RHEMTULLAH.

3 comments:

Bazizane said...

Nancy unakaugonjwa kama kangu.
Nguo nyeusi jamani unazipenda.

kelvin said...

zamradi how old are you coz urface looks as if ur under 18.navokusikiaga kwenye HekaHeka i never thougt u'l be looking this way.nilijua ni bonge la..............!!!!!!!

kelvin said...

ther z somthing missng in your Blog sisster i want to see your profile au ndo mpaka twende kwa facebook.do somthing here please