Wednesday, June 9, 2010

UNAMJUA HUYU!!!?????

Habari yako bwana..!!!!!

Unamjua huyu!!?? Umeshawahi kumuona sehemu??? kama unamjua nataka uniambie umemuona wapi!? ama kwenye nini?? Na si vibaya kama una jina lake na mi unitupie nilijue...

5 comments:

Anonymous said...

jina lake sijui romeo sijui nani sijui ila ameonekana kwenye songi la mbagala

sema hapo kama nimekosea....

Anonymous said...

anaitwa romeo nimtangazaji wa clouds tv au nimekosea hidaya wa facebook

Anonymous said...

Rom Jones(Romeo) Kitu cha clouds Tv mtupie pale kati halufu tuone

Anonymous said...

Ni Romeo Jones wa Clouds TV, aminia vijana wa kazi.

Amanda

Anonymous said...

Ni Romeo Jones nilimuona kwa mara ya kwanza kwenye blog ya dj choka wakati clouds Tv bado haijaanza wakiwa wanahoji wasanii mbalimbali kwa ajili ya matayarisho ya kurekodi vipindi vya TV yenu ya Clouds na nilimuona kwenye ile zamani ilikuwa ikiitwa summer jam kwasasa nimesahau jina lake kidogo.

Amanda