salamu ndio jadi yetu watanzania... nawasalimu tu!!
NIMEKUWA BALOZI WA OXFAM TANZANIA WA KAMPENI YA "GROW"
-
*Ijumaaa ya tarehe 14 june mimi na wenzangu 6 tulisimikwa ubalozi wa Oxfam
Tanzania wa kampeni ya GROW.*
*Kusimikwa huko kuliambatana na tuzo maalum ya kut...
2 days ago
9 comments:
msifungue blog kisa flan kafungua aibu gni hii huna cha kuandikia wakaa kabisa na pozi juu eti habari zenu HUNA CHA KUANDIKA WEWE kwishnei
I wish I say .....I love you Zamaradi
mtizame huyu jamani km afande tupe matukio sio salam we vp ulizani kufungua blog ni km kwenda msalani eeeh jitume
zama mbn wataka jitia jaka moyo?????????? ivi ni lazima kuwa na blog km hutaweza kupata matukio?????????? aya sasa leo huna lolote zaidi ya salam.salam ni jadi te2 tukukutana sio humu si tunataka manews bwana
jamani watanzania au binadamu mbona hatueleweki?muacheni kwani mwanzo mgumu atafika tuu
Mliolalamika, niambie nini kimefanyika na Zama mpaka mkalalama? Ametusalimia, unaanza kulalamika, kwanini? By the way, a beautiful lady anakusalimia wewe una ng'aka....miafrika ndio tulivyo
@ZAMA....asikwambie mtu, umependeza na nakuhakikishia waliolalama hapa sio hawakupendi ama hawapendi blog yako, bali wanakupenda na wanapenda blog yako ndio maana waka komenti....wameshindwa kukufikia ndio maana.....wewe endelea kama unavyopanga wewe....tupo pamoja
poa Zama........ hatujambo pia
si ajabu ni mademu ndio wamelalamika. sisi midume aah. tena naingia na laptop yangu bafuni mie lol!!!
umependeza sana dada yangu, i wish I could merry you...Hivi unamchumba??
Post a Comment