Thursday, June 17, 2010

ZAWADI KUTOKA KWA BIBI..Niko na zawadi yangu kutoka kwa Bibi
Leo tulienda kushoot Bibi Bomba na huyu ni mmoja kati ya mabibi tuliokwenda kuwatembelea ametupokea vizuri sana na kutuonesha ukarimu wa hali ya juu. Pia ametupa zawadi kibao yakiwemo Mahindi, Maboga, Mboga za majani na zawadi nyingine kibao kutoka shambani kwake.. hapo tukiwa nje ya nyumba yake.

Mimi hapo kushoto, Mohammed Cameraman wangu pamoja na Shagile hapo kulia

Hapo ameongezeka Wasiwasi Mwabulambo katikati na boga lake kichwani


Vijana wa kazi......
Baada ya kumaliza kazi Production team yangu.. Shukrani sana kwa BIBI tume-enjoy sana hii Trip..

4 comments:

Anonymous said...

I miss Tanzania jamani, duuh maboga hayo....thanks!

Anonymous said...

bila shaka wasi alikuwa anatafuta ndumu huko shamba

BabyAmore said...

jamani halafu umepikaje? puddin au boga la kuchemsha kwa maziwa ya mgando?

I miss my love country.

Anonymous said...

zamaradi mimi pia ni demu mzuri kama wewe, sikuvunjii heshima ila nasema tu ningelikuwa mwanamume ningekuoa kwa sababu we mzuri. take care. shamsa.