Wednesday, April 28, 2010

TAFAKARI........

5 comments:

Anonymous said...

Kwa jamaa hawa walivyokaa kwa bahati mbaya kama suruali imechanika hicho kirungu si kinaweza pitiliza na kuleta madhara makubwa?

Anonymous said...

Sijui wanajisikiaje hapo walipo?Ujumbe,kama usafiri ni mali kalia kichwa!

Mwanadada!

Jacob said...

E bana jamaa wa kulia anaonekana anatafakari kumbe.... maana yeye amegeuzia kirungu kwenye ncha yake... duh pole sn brother

Anonymous said...

E bana huyu jamaa wa kulia anaonekana kama anatafakari kumbe anasikilizia.... maana yeye amegeuzia kirungu kwenye ncha yake .. dah pole sn bro

Jacob said...

Hapo wako kwenye raha zao sina comment