Thursday, April 15, 2010

USO KWA USO NA STEVE NYEREREWatu wanasema kwamba kijana yuko kimya sana lakini leo nilivyokutana nae akaniambia kwamba Huu ndio muda wake wa kurekebisha mipango...... na ukiona KOBE KAINAMA ujue...
Handsomeboy Steve mwalimu.. hapa akiwa 'amejihandsamisha'

Kwa wale wapenzi wake kaeni mkao wa kula sababu sasahivi amesema HATAKI MCHEZO alikuwa kambini huko GHUBA YA SOMALIA akijifua na baada ya kukoswakoswa na silaha amekuwa na hasira sana na sasahivi ameongeza sauti nyingine ya RAIS WA SOMALIA ..


Subiri umuone live ndani ya mavazi na sura ya kisomali huku akilalamikia UGAIDI unaofanywa na wananchi wake wa SOMALIA.. hapo akikupa za KIKWERE

3 comments:

Anonymous said...

Umependeza sana dada yangu. To me, you are one of the most beutiful.

Mwambie Steve tunakuja

Big up Sana!

Anonymous said...

Samahanini jamani, mwenzenu mi huyu huwa hanichekeshagi, naona ananiboa tu, sauti sauti utaigiza sauti mpaka lini, badilika njoo na kitu kipya tumechoka kusikia sauti za watu wa zamani. mi hanichekeshi kabisa yani.

Anonymous said...

Zamaradi you are very beautiful and that should be your professional look by the way you are intelligent also