Monday, April 19, 2010

FLAVIANA ANATOKA NA MMILIKI WA PHAT FARM..??

Kuna mtandao mmoja huko marekani umeandika kuhusu uhusiano wa mwanamitindo kutoka Tanzania FLAVIANA MATATA na aliekuwa mume wa Kimora Lee RUSSEL SIMONS ambae ni mmoja kati ya mafounder wa hip-hop label ya DEF JAM records na pia ni creator wa clothing fashion line yaPHAT FARM. Flaviana akiwa na Russel Simmons
Russel Simons

Huyu ndio Russel Simons mwenyewe ambae INASEMEKANA yuko na uhusiano wa kimapenzi na Flaviana kwa sasa..
Alizaliwa 4th October 1957, ni mtu anaeheshimika sana huko America na ana mchango mkubwa sana katika muziki wa hip hop.
na inasemekana anapenda sana kudate Models kwani hata aliekuwa mke wake (Kimora lee) ambae ni mmiliki wa Baby phat ni model.

KIMORA LEE (4th May 1975)
Russel Simons alikutana na model kimora lee mwaka 1992 katika New York Fashion Week ambapo waliweza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka sita na hatimae wakafunga ndoa December 20 1998.. na March 2006 walitangaza kutengana kwao hatimae January 2009 walipeana talaka moja kwa moja

Aliyekuwa mke wa Russel Simons, anaitwa KIMORA LEEKabla ya kutengana walifanikiwa kupata watoto wawili wa kike pamoja ambao ni Ming lee aliezaliwa January 21st 2000 na mwingine aliezaliwa 2002 August anaeitwa Aoki lee.. na watoto wao wote ni mamodel wa BABY PHAT kids collection.

Flaviana Matata akiwa na Russel Simons

Bado haijajulikana kama hii habari ni kweli ama la..
Ila ntajitahidi kumtafuta Flavy atuelezee ukweli wa hii habari.

Flavy say Something baby gal...

17 comments:

Anonymous said...

naona dunia kama kijiji sasa, jiachie mwaya ikiwezekana mkabe kabisa usimuachie

Anonymous said...

Binti matata naona level nyingine hizo sasa, sio kitu kibaya kama mapenzi yapo kati maana hiko ndio kinachohitajika.

Anonymous said...

Mmh ila mzee

Anonymous said...

Iwee mwana mwee! uzee sio kitu, kitu mapenzi kilianza zamani, tokea enzi za mababu zetu mwee! kamata vizuri usiachie hapo Flavy.....Uko juu shikilia sana tena sana utakula vizuri mpelekeshe km feni speed namba moja zakiswazi zile mpagawishe haswa

Anonymous said...

Huyo anonymous wa pili kanishangaza, eti kama mapenzi yapo kati hamna shida, sasa wangekuwa pamoja kama hakuna mapenzi! au unataka mapenzi gani, watu bwana kujitia washauri. bibi kula raha zako na babu wako asikusumbue mtu,hakuna mwanaume mzee.

Anonymous said...

Flaviana mdogo wangu ckufundishi ushangingi ila level hiyo upo juu...shika shikamana acha pouse hapo mpe zakiswaziswazi mpagawishe mpeleke mpaka atapike comflex. Kwalever uliyopo ukidrop patupu mwanangu nomaaa. Akili mkichwa usituangushe

Anonymous said...

Sasa nyie kinawauma nini kwa Flavvy kutoka na huyo Simons??.Hakuna cha uzee hapo Flavy ameula,wengine wivu tu umewajaa.

Anonymous said...

this story wasnt true..she is not Russel's girlfrend..Flaviana anaweza kujifananisha na kimora? no way!! Russle has a brazilian girlfriends, yule hashikiliwi hivi hivi tu..

Anonymous said...

Watanzania mnanifurahisha sana, tizama hizo picha vizuri utatambua nani alimuomba mwenzake kupiga picha, tusiishie kusoma maandishi tuu tujifunze na kusoma picha.. Ukwel ni kwamba tunapenda sana mambo tusiyoyajua ama kuyafaham

God Bless Africa

Anonymous said...

we anony uliejisemesha eti km flavvy anafanana na kimora lee,we unafananaje labda... mxeeeeuuw!
mbna mna majungu wabongo...
mwaya flavvy jiachie if its true... forget them haters,they only make you more famous...

Anonymous said...

Watu wengine bwana, we unayejiita laprincessa unachekesha kweli!, eti flavy atajifananisha na kimora!, nyooo tena koma kabisa...ajifananishe kwani huyo kimora ana nini cha zaidi ambacho flavy hana? muone kwanza midomo imemkaukaaaa.....looo....go flavy go mwaya....kama ni kweli kamatia hapo hapo ..kama si kweli basi poa tu! ila uko juu!!!!

Anonymous said...

unaweza kuona picha za kawaida za red carpets na si ishu sana. labda tusubiri tuone au chanzo chenye uhakika zaidi.

Anonymous said...

hi zama hope uko poa,naipenda sn segment yk coz inanisaidia kujua filamu bomba za bongo.hongera

Anonymous said...

hapo cna la kusema ! kama amekolea mkoleze na wewe! ila kama ana mke mmmmmmmmmmhh!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

jamani wabongo kama ni kweli anatoka nae mpeni heko mtoto wa mwanamke na mwanaume mwenzenu!na co kuanza kuponda ooh! kaomba apige nae picha!isikuume sana ulitaka uwe wewe? au dada yako?

mwax said...

cion ubaya ukiwa naye Flavy! but u need 2 b much more careful. kama ni safe jiachie!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

AISEE LAVY,HIYO MBONA IMETULIA SANA BEST YAAN KUTOKA NA DINGI NYAMA KAMA HILO LENYE HESHIMA KUBWA SANA KATIKA HIP HOP, KIUKWELI MIMI KAMA MSELA KUTOKA A-TOWN KISIWA CHA HIP HOP TANZANIA NIMEEIKUBALI SANA HIYO.ILA KUWA MAKINI WATU WENYE FEDHA KM HAO HUWA HAWAKO TRUE IN LOVE,SO TAKE CARE BUT MUCH BETTER TAKE MONEY.From CK Arusha R-chugha