MIMI pamoja na Familia nzima ya HUSSEIN MKETEMA wa Kinondoni DSM tunatoa shukrani za DHATI kabisa kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine katika mazishi ya BABA yetu mpendwa HUSSEIN MKETEMA aliefariki tarehe 4 April 2010..
Ni ngumu sana kumshukuru mmoja mmoja hivyo shukrani za dhati ziwaendee WOTE walioshiriki nasi katika kipindi hiki kigumu, MUNGU awabariki sana...
INNALILLAHI WAINA ILAIHI RAJIUN.
MWENYEEZI MUNGU aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.. AMEEN!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
2 comments:
Pole sana, dada angu Zamaradi kwa kuondokewa na Baba ako. I real feel your pain coz najua uchungu wa kufiwa. Kusema kweli huwa nikikumbuka habari za kifo huwa nakuwaga mpole sana , coz najua pamoja na mambo yote ninayo fanya kumbe mwisho wangu utakuwa karibu. At that point ndo huwa najitahidi kuwa karibu sana na Mungu kwa kadri ya uwezo wanhu. In addition to that, i thought that you are a Christian, u know the reason? i saw in your facebook profile that you are a fan of Bishop. David Oyedepo. Anyway, pole sana kwa kufiwa na Baba yako.
'The Lord Giveth, and he taketh"
pole sannaaa mumie dats a way evrybody can pass,,,inshallah Allah awape faraja
sam!!
Post a Comment