Thursday, April 15, 2010

NIMEWABAMBA!!!!!

Nilikuwa napita tu hapa Best Bite leo nikakuta
watu wanashoot filamu inaitwa NANI ALAUMIWE
Director kushoto akiwa busy kuweka vijana
wake sawa na kitu wanachokifanya anaitwa YUSUPH EMBE maarufu kama DEOWaigizai wakiwa kwenye set, huyo mvulana kulia ndio muhusika mkuu wa hiyo filamu kijana mpya kabisa katika industry anaitwa MOHAMMED ISSA na msichana pembeni anaitwa BAHATI MBONDE. Kazi ikiendelea
Isubiri filamu hii kutoka kampuni mpya ya MCLISA PRODUCTION itakayoitwa NANI ALAUMIWE
Hizo ndio filamu zetu nyuma ya pazia3 comments:

Anonymous said...

Bongo bwana! hiyo ndio crew nzima hiyo.

Anonymous said...

Yaani hapo wizi mtupu.Wameingia hapo kama wateja wa juice wakaagiza juice mbili na kutoa video kamera kwenye mfuko wa rambo then shooting ikaanza.

Hapo kuna director na camera man tu.Hakuna mtu wa sauti mwenye mic kubwa ambayo inaweza chuja sauti ,watu wa make up
Anayeorganize location na kufanya booking ya eneo la kupigia picha nk nk .Loh Film za bongo zinakamilika baada ya miezi mitatu.Ni kulipua tu.

Anonymous said...

yani...nimecheka basi,,yani hao hao usikute ndo wanact.....nimecheka basi....jamani bongo bwana...movie zao.