Friday, August 6, 2010

KARIBU KIUMENI

Acha niwe mkweli I love this guy.. ni mmoja kati ya wasanii ninaowakubali sana.. ana sauti fulani ambayo ni unique kiukweli..

Jana tulikuwa pale TEMEKE na watoto wa TMK katika maandalizi ya kujipangusa kama unavyoona hapo pembeni kushoto kuna Chege, Temba katikati pamoja na Reuben ndege.

Chege, mimi pamoja na Muheshimiwa Temba ambae ni mmoja kati ya vichwa vya TMK ambae nae atawakilisha kwenye FIESTA jipanguse jumamosi ya kesho..

Usikose KESHO fiesta tukutane pale Leaders tujipanguse pamoja na kina BRACKETS kutoka NIGERIA, MZEE WA ALADJI kutoka IVORY COAST pamoja na LIL KIM all the way from USA.

JIPANGUSEEEEEEE!!!
5 comments:

Anonymous said...

I love this guy.....mmmmhhh....love ya kizungu au ya kibongo?

Hivi Zamaradi umeolewa? Nijibu basi leo...

Anonymous said...

hivi hivyo vidole mnavyonyoosheana manake nini ! manake kila mahali utakuta staili hiyo tuuu naielimisheni jamani

suzie said...

Zamaradi mwaya unishindi mimi nampendaga chege jamani yaani mimi namuona amekaa so lovely hasa anavyocheka. Navyokuona umepiga naye picha alafu anasmile ndo nakufa then nahisi kukuonea wivu. Kiukweli I wish to share with him a sit one day anipigishe story mpaka basi.

Anonymous said...

aisee kumbe chege handsome.hapo alivyosmile balaa halafu kapendeza

Anonymous said...

Yeah!!! the guy ana gudlukin, kiukweli smartness itamuuza hasa alipokuwa kwenye serebuka alivuta watu sana maana ndo alikuwa akipiga pamba. He is so sexy