Monday, August 16, 2010

MLELA na HEMED ndani ya FILAMU MOJA.. BEHIND THE SCENE!!!


NANI ZAIDI????
Hemed akiwa katika moja ya set ya filamu yao mpya ambayo wanafanya chini ya kampuni ya 5 effect kwa WILLIAM J. MTITU
HEMED na MLELA wakiwa kwenye set
Madirectors DENNISS NGAKONGWA na WILLIAM MTITU
Mwanaume kazini
Baada ya kazi.. wanakula pozi kidogo
Mlela akisoma script
Mafahari wawili ndani ya filamu moja
Mlela on set

Mwanzo vijana hawa walikuwa kwenye beef zito sana lakini kwasasa wamepatana na kutoa tofauti zao na wanafanya kazi pamoja.. tusubiri tuone filamu hiyo ambayo ni COPY ya filamu ya BESTMAN ya nje.

2 comments:

Anonymous said...

Mimi naona wote wanapenda kuuza sura ila HB kazidi, haya tena tusubiri hiyo filamu tuwaone mafahari wawili hao

Anonymous said...

Mbona katika hiyo picha inayomuonyesha Hemedi ame-relax umeandika'mwanaume kazini'? Kama analipwa kwa kujinyoosha naona na mimi pia naweza kuwa actor.