Wednesday, August 4, 2010

MJUKUU WANGU...Anaitwa Terrence.. the little swagga boy.. katundu kiasi but veery smart

Huyu ni mtoto wa mtoto wa brother angu kabisa (mjukuu wa my Brother) mama yake ananiita 'AUNTIE'

Anawapa Hi kidogo
ha ha haaaa..
like father like son.. Soo nice
huyu ndie mama ya Terrence... very proud of his little boy
I got it from my papa.. SWAGGA IS ON!!!!
Seems atasumbua sana baadae huyu

katika pozi mwenyewe utamuomba...
"U CAN TELL ME NOTHING"
Akiwa na wajomba wajomba
Kwa style hii wakwe lazima wawe wengi hapo baadae.. lol!!!
Kana mambo hako... sijui anachat na MCHUCHU!!!
When i see this kid i wish to have ONE kiukweli....
This is really nice
Swagga is ON

The Momma
Happy family

5 comments:

Anonymous said...

Acha ujinga malaika wa Mungu ushaanza kumchuria , baada ya kumumbea mema Aje kuwa mtulivu AtasumbuA !!!!! mana ke nini wanawake watampigania !!! kweli na wewe Umechemsha !!!1 Ndo cha mana ulichoona kumuwazia mtoto > Ama kweli mabinti wa kisasa sijui watakuwa wa kina mama wa aina gani , manake Atai !!!!!

Anonymous said...

we anony hapo juu mbona mshari hivo???!!!!!! watanzania watu waajabu nyie, hamna jema. sasa hapo zamaradi alichokosea nini? na kwann amuombee mabaya mjukuu wake. ebu acha ujinga, kila kitu mnapenda kuchulia serious, hata cha utani kidogo. Mjinga mkubwa umenikera ningekuwa nakufahamu ningekuchapa vibao. inaelekea una chuki zako binafsi kwa zamaradi.

Anonymous said...

Zama sorry hao majamaa wanaishi uholanzi?coz nimemwona bro wangu huyo mrefu mwenye shati la draft.plz plz ans.

Anonymous said...

Hao majamaa wanaishi uholanzi?coz namwona bro wangu mwenye shati la draft mrefu kuliko wote.

Anonymous said...

Eti hao majamaa wanaishi wapi?coz nimemwona bro hapo huyo mrefu mwenye shati la draft anaishi Holland.