Wednesday, August 11, 2010

KUNA SIRI GANI NDANI YA VITAMBAA VYA ALADJI..!!???? (UVAAJI WAKE)


SWAGGA ZA ALADJI, hapa akiwa AMETUPIA vitambaa vyeupe

Watu wamekuwa wakihoji sana kuhusiana na uvaaji vitambaa vya USO wa mwanamuziki kutoka IVORY COAST ambae anatamba na wimbo wake wa ALADJI.. kwamba inakuaje ndio style ama vipi.. maana hata sisi ambao tulikuwa na nafasi ya karibu kidogo hatukufanikiwa kuiona sura yake ikiwa wazi.. anachofanya ni kubadilisha tu aina ya vitambaa mara VYEUPE mara VYEUSI na kikubwa ni style yake ya ufungaji ambayo inakuwa kama katoka hospitali hivi.. kiukweli ni style ya aina yake aliyokuja nayo huyu mwanakaka JEFF BOGOLOBANGO " mzee wa Aladji"

Hapa akiwa kajipigilia vitambaa Vyeusi

Kuna nini humo kwenye hivyo vitambaa..!!???

Wadau msaada kwa wenye idea kidogo..

4 comments:

suzie said...

Clouds kwa vituko labda mmetuletea boya sisi tumo tu, ila hata alivyopafom yaani kama vile sio wimbo wake aliouzoea lakini sijui mwaya

suzie said...

Clouds kwa vituko labda mmetuletea boya sisi tumo tu, ila hata alivyopafom yaani kama vile sio wimbo wake aliouzoea lakini sijui mwaya

Anonymous said...

kwa nini unaomba msaada wa idea tunakupa hutoi sema basi kama unaubia na kazi zaidi ya maoni.

Anonymous said...

Gea punguza kula halafu looh unajichubua sugua na hayo magoti.