Saturday, August 7, 2010

ON THE INTERVIEW WITH BRACKETS (YORIYORI) ALL THE WAY FROM NIGERIA

Hapa ilikuwa kabla ya interview katika setting za hapa na pale ili kuweka mambo sawa

Tukiwa on set ready for interview...

Niliwauliza mwanamuziki gani wanamkubali kutoka kwao NIGERIA wakanijibu ni 2face Idibia.. na kwa taarifa fupi ni kwamba wamefanya nae remix ya YORIYORI ambayo itazinduliwa rasmi on FIESTA LEO HII ... USIKOSE

Akijielezea kidogo

Mimi hapo pembeni pamoja na BRACKETS lakini kwa majina yao kutoka kulia ni SMASH na huyo wa katikati anaitwa VAST.. talented group from NIGERIA.. thanks kwa uongozi wa Clouds FM kwa kutuletea watu hawa on this day.. kwa jinsi nilivyowaona wanaelekea watarusha vibaya mno.. they got VOICE, they got ENERGY, in short they are really good.
JIPANGUSEEEEEEEEEEEE
Katika picha ya pamoja


No comments: