Tuesday, August 17, 2010

HEMED NA YUSUPH MLELA WAZIDUNDA KIUKWELI

Hii si story ya movie ila ni ukweli kabisa imetokea wakati wa kushoot filamu ya WILLIAM MTITU ambapo vijana hao walijikuta wakizichapa.

Awali watu hawa walikuwa ndani ya BEEF zito sana na baadae wakaja kupatana na kukutanishwa katika filamu moja lakini katika hali isiyotegemewa wamejikuta wakizidunda mbele za watu (WAKIPIGANA)

Ukitaka kujua sababu iliyofanya wapigane usikose kusikiliza MOVIE LEO siku ya kesho na ZAMARADI MKETEMA saa NNE na dk 45 asubuhi ndani ya CLOUDS FM the people station.

4 comments:

Anonymous said...

sasa mami ukisema tusikilize leo tena kipindi while wengine tupo mikoani huoni kama unatunyima uhondo. jullie

Anonymous said...

kwanini zamaradi hupendi kuwa unajibu comments za watu jmn?

Anonymous said...

huyo hemed ana mambo ya kitoto halafu mshamba sana hatupotezi muda kuangalia movie alioigiza kwanza angefaa kuwa ustadh wa madrasa maana kila kitu hawezi kuigiza big 0 kuimba ndio ziroo hata P funky alishawahi kusema hajui lolote.

Anonymous said...

sa wngn ha2na redio...c uandk 2!!