Friday, August 13, 2010

FAMILIA YA LUIZA MBUTU (NYONI's FAMILY)

Kutoka kushoto anaitwa MODESTA NYONI, LUIZA NYONI MBUTU, MATILDA NYONI, CHRISTINA NYONI, na ANNETH NYONI kitinda mimba!!!
Happy People , Happy Family kama unavyowaona ndio familia nzima ya NYONI.. Luiza MBUTU akiwa na dada na wadogo zake.

Hapa wameongezeka watoto wao alie kushoto anaitwa JOSEPH mtoto wa Modesta Nyoni, na mtoto alie katikati anaitwa BRIAN mtoto wa LUIZA MBUTU (mama B) na kabinti huko upande wa kulia anaitwa ROSE mtoto wa MODESTA pia (aliyekaa mwenye hereni nyekundu)

10 comments:

Anonymous said...

wazuri na wamependeza ila izo boots walai hpn sio bongo huo ni mchemko

Anonymous said...

Lakini nyie wadada wa KIMWERA Mmeamua kudilisha jina lenu la Ukoo?Maana nyinyi ni NNYANI na si NYONI,- jirani yenu wa NYANGAO

Anonymous said...

whats up with the boots.....damn! fashion hizi zinafanya watu waonekane machizi sasa.

Anonymous said...

that great zama kaza moyo mamito hutafika zaidi ya hapo it is me sarah wa kino kwa da zuuuuuu

Anonymous said...

Mmependeza saaaanaa mpo juuu...Luiza nakupenda jinsi ulivyotulia...kaza buti mamiii,Brian naye amekua mkubwa kweli..hongera...ameacha utundu...nilikuwa nasali mwananyamala nakuonaga church..na Brian anavyosumbua...siku moja baada ya wewe kumthibiti akaamua kusimama juu ya kiti na kushusha kaptura yake..mimi nilikuwa nyuma yenu,,,,yaani watoto bwana...

Mmependeza na buti fashion...ipo bomba mbaya..huyo aliyesema bongo na buti...unajuaje kama wamepigia hiyo picha bongo....inawezekana walikuwa nje je....?hata hivyo bongo usiku mwezi wa sita hadi wa nane kuna baridi hivyo si mbaya kuvaa buti...hureeeee!big up NYONI FAMILY..keep it up!

Anonymous said...

Bongo wakileta DNA kina mama watakimbia, mbona hawafanani

Anonymous said...

Ni warembo!Kwani familia zima iko kwa showbiz?Maana sijui....

Anonymous said...

happy family kwakweli. boots kama si za kuvaliwa bongo kwanini zimeletwa bongo?

Anonymous said...

mchemko na ulimbukeni tu watu wakishaingia mjini wanarevuka na kupagawa kwa kuiga

Anonymous said...

nimewapenda nyoni family mmependeza sana!